Recent content by buckezi

  1. buckezi

    Hataki tufanye mapenzi

    Ngono kabla ya ndoa ni dhambi, km huwezi kuacha oa. Kumbuka maisha ya duniani ni mafupi sana, tamaa za mwili zisikukoseshe uzima wa milele tuliowekewa tayari na BWANA YESU KRISTO.
  2. buckezi

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Tu Tunaposema "kwa mwendo huu tutafika/hatutafika" tuna maana ya kufika au kutofika wapi? Waasisi wetu ambao wengi wao ni marehemu walifika wapi? Jambo LA msingi kukaza mwendo ktk imani ya YESU KRISTO aliye njia ya kweli na uzima tufike mbinguni kwani hakuna jambo linalodumu chini ya jua
  3. buckezi

    Hivi inawezekana kuushinda uzinzi?

    Nakushauri uokoke kwani una pepo la uzinzi linakusumbua, mtegemee YESU KRISTO maishani mwako. Kumbuka maisha ya duniani ni mafupi na baada ya kifo in hukumu. Tubu Leo tengeneza maisha ya umilele ktk ulimwengu wa roho
  4. buckezi

    Watumishi hewa 169 wagundulika mkoani Kigoma

    Kwani Arusha siyo mkoa wa pembezoni mwa nchi? Fikiri vizuri
Back
Top Bottom