mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,656
Kama bikra sawa,
Kama sio bikra basi kamata mwizi.
Kama sio bikra basi kamata mwizi.
mh pole sana kwa kupenda, kuna mjanja anamtafuna huyo demu wako kila weekend, stuka mwanajamii forum.Ikifika wakati wa ucku mida ya saa 4 anaongea sana kwenye simu , ukimuliza anasema anaongea na marafiki
Anaitwa nani!? Maana na dem wangu anachuna maboya vinaletwa kwangu....!!!!Wakuu habarini, naomba ushauri ninademu wangu namuomba mzigo anasema hadi nikaonekane kwa wazazi wake, wakati hela ya matumizi natoa kila anapohitaji. Nitumie mbinu gani ili nimgegede? Na ninampenda sana nilimwambia aje home akaja na rafiki yake. Ushauri wenu wakuu!
Hapo ndio utaona mbivu na mbichiYap nimekupata sana mkuu, kweli nitaendelea kutoa mwisho wa cku ntaumia bure kwa msongo wa mawazo.
Sasa kama sio bikra unasubiria nni?Wew kwa dunia ya saiz anawezapatikana bikra au zakutengenezwa tuu. Mm siamini sana

Sasa umekuja kumshitaki huku?... man up boy, si uende kwao kama kweli unampenda sana.Ikifika wakati wa ucku mida ya saa 4 anaongea sana kwenye simu , ukimuliza anasema anaongea na marafiki

Hahaha ujue una akili sana we jamaa? Nafatilia sana comments zako!Kwa hiyo akiacha kupokea hela na akaendelea kugoma kutoa "mzigo", case yake itakuwa justified?