Recent content by buchuja

  1. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

    Jadili mambo ya kitaifa Ulete mambo ya kitoto hapa Taifa lipo katika Hali mbaya alfu unaleta mambo ya mtu itusaidie nini?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Fafanua wap magamba eamechukua
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sijapata kuona chama hovyo kama CHADEMA

    Pole sana chagua Chama bora unachoona sio cha hovyo ujiunge wala hakuna haja ya kulalamika unapoteza muda wako bure
  4. B

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Warioba
  5. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo manispaa ya mtwara idara sec natafuta mwalimu wa kubadilishana kutoka kibaha,dar es salam,bagamoyo,chalinze ama morogoro mawasiliano 0713-457 989
  6. B

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Dr. Ulimboka?

    Jamani wana Jamiiforums sote tunajua kisa cha dr. Ulimboka. Kinachonishangaza mimi hapa tangu arudi nchini kutoka mbondeni kawa kimya yuko wapi huyu jamaa, au Interejensia ya bongo imemficha asisimulie mkasa Naomba mchango wenu Jamani Yu wapi? Na anafanya nini?.......................
  7. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu SEKONDARI.Nipo MANISPAA ya ,MTWARA mikindani natafuta mwalimu wa kubadilishana kutoka Kibaha,Bagamoyo,Dar es salam ama MANISPAA ya MOROGORO Mawasiliano 0713-457989
  8. B

    JamiiForums Tanzania Walioanza na Kikwete wataondoka naye mwakani

    Wewe msukuma soma alama za nyakati kama ulivyofanya mwaka 2010 upepo unavuma wabunge wengi wata ondoka na mzee wa kasi mpya
  9. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    nipo manispaa ya mtwara idara sekondari nipo tayari kuhamia morogoro ama mkoa wa pwani 0713-457989
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge wetu Wa jimbo la Arusha pokea simu zetu

    Huna akili umelogwa.utabaki kuwa zombi milele
  11. B

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania: Hodi mbunge wa jimbo la Ubungo

    AC,T kitakuwa cha cha kwanza kufa kabla ya mwaka 2017 na sababu ni moja tu wanashidana na CHADEMA chama pend.a na wananchi wataokana wafaasi wa maccm. Ambapo CHADEMA watabaki na hoja zito za kuvuna wanacha
  12. B

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania: Hodi mbunge wa jimbo la Ubungo

    Nazani ninyi vijana mnakunywa viroba someni alama za nyakati sio kutapatapa kila mahali kwa pupa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Baraza Kuu CHADEMA wawalipua Mbowe na Slaa

    Mtapambana hamtashida. Toeni utumbo wenu hapa hapana jipya fanya utafiti kwanza chadema sio chama cha kufa leo soma alama za nyakati
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwa staili hii CHADEMA kimeisha

    Usiandike kitu kwa hisia fanya utafiti bhana unajizalilisha tofauti na ninavyokufahamu
Back
Top Bottom