Recent content by Bubango Jp

  1. B

    Hili la wanawake kusahau fadhila linauma sana!

    Ha ha ha! Mwambie akurudishie baada ya hapo nenda kijijini chagua standard seven weka ndani angalau ataishi kwa nidhamu ya woga hata miaka 5 bila kukusumbua. Kiukweli hata angekubali akawa mwezi wako kimaisha angekusumbua kwa sababu ya Timing.
  2. B

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Miye yamenikuta pia kwa line ya 4g. Nilikuwa na 3g nikataka line ya 4g . Nikanunua kwa mbwembwe hiyo 4g cha ajabu no changes, bado inasoma 4g wkt kasha lao limeandikwa 3g. Simu yangu inasupport 4g cause kabla ya kuweka voda nilikuwa natumia line ya nchi fulani Ulaya, ilikuwa inasoma na display...
  3. B

    Yuko wapi IGP mstaafu Omary Mahita?

    Yupo mzima wa afya! Very strong Kabisa. Jumamosi iliyopita amenikuta CRDB pale Moro. Anaonekana nadhifu, confident, strong na very tender.
  4. B

    Nahitaji Kujiunga na upadre

    Hakuna kz ya upadri.
  5. B

    Top ten ya Mikoa yenye wanaume wa shoka

    Sijajua mpaka sasa hiyo Orodha imetolewa kwa vigezo gani. Wanaume wa shoka maana yake handsome, wataalam wa ngono, walaji sana, wapiga kz sana, au mantiki ni nn? Km ni km ni hodari na wapiga kz usingesahau a Kigoma au mikoa ya ziwa, km ni utaalamu wa ngono usingesahau Kagera na Songea, km...
Back
Top Bottom