Recent content by BRUCE LEE

  1. BRUCE LEE

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awachana Kilwa kwa kumchagua mpinzani Bwege. Awataka kutofanya makosa tena uchaguzi ujao

    habari za siku Senior...nimefurahi saaana kuona post yako.....nataraji upo salama.
  2. BRUCE LEE

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge

    Umebadilika saana Kaka..,.mwanzoni nilijua unafikisha ujumbe kwa kinyume na unachoandika Ila baada ya kukufuatilia kwa muda nikagundua kua una maanisha na kusimamia kauli zako za kuunga mkono...inawezekana ule wito wa dodoma pamoja na onyo ulopewa au umeingia katika pay roll ili utumie taaluma...
  3. BRUCE LEE

    JamiiForums Tanzania Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

    Hahahhaahahahaha nimejikuta tu nacheka kwa sauti kubwa....you have made my day...mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. BRUCE LEE

    JamiiForums Tanzania How the Dreamliner is Killing Tanzanians dream?

    Hahahahahaha we jamaa unajua hua simuelewagi kabisa siku hizi
  5. BRUCE LEE

    JamiiForums Tanzania How the Dreamliner is Killing Tanzanians dream?

    Naona unajizungusha zungusha tu hata hueleweki unachokiongea unaleta nadharia za darasani na sio uhalisia....lazima ujue kutofautisha kati ya maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu...korosho huko tayari bei imeanguka....we unapima maendeleo kwa kua na mandege mengi au madaraja makubwa? Acheni...
  6. BRUCE LEE

    JamiiForums Tanzania How the Dreamliner is Killing Tanzanians dream?

    Pascal, pascal unazeeka vibaya ndugu yangu...sijui nani anakushikia akili zako siku hizi...hivii hiyo miradi itakamilika lini? Hata tuseme kama unavyoomba kila siku na kitushawishi humu tuondoe ukomo wa madaraka fine....hiyo miradi probably itaanza lipa after 50 years plus ....if and only if...
  7. BRUCE LEE

    JamiiForums Tanzania Jafo anaweza kuwa ndiye waziri mbovu na kituko zaidi wa TAMISEMI tangu nchi hii ipate uhuru

    Mkuu mbona huyo Mzee baba kaandika vizuri na tumemuelewa katapika nyongo yake na Sasa yupo vizuri ni zam ya Jaffo kuja kujibu na kupangua hoja hizo.
  8. BRUCE LEE

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza RC Mbeya kwa kuchapa viboko wanafunzi. Awafukuza shule wanafunzi na kuvunja Bodi ya shule

    Hahahahahaha...hajui uchungu wa mwana...
  9. BRUCE LEE

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaopanga maandamano ya nchi nzima kushinikiza kusiwe na uchaguzi 2020 na Magufuli aendelee kuwa Rais

    Acha unafiki pasco....unajivua nguo siku hizi...wewe sio pasco mayala niliemjua na kumuheshim kwa zaidi ya miaka 15, bora ukae kimya Kaka, unaonyesha ubaguzi na ukabila wa wazi wazi unajifanya hujui katiba inatakaje... Acha unafiki na siku hizi chochote unachokiandika wala sikichukulii uzito au...
  10. BRUCE LEE

    JamiiForums Tanzania RC Makonda awapiga 'stop' Mawaziri kufanya ziara katika mkoa wake

    Kaka Mimi nipo la chaaz hapa naomba nikuongeze K Vant nyingine kubwa
  11. BRUCE LEE

    JamiiForums Tanzania Je sisi wote kweli ni uzao wa Adam na Hawa?

    Sisi na wazungu tunautofauti mkubwa sana...kufanana nao kua na viungo vinavyolingana sio sababu ya kusema sisi na wao tuna undugu......kwahiyo tuseme wewe na sokwe mtu mna undugu?
  12. BRUCE LEE

    JamiiForums Tanzania Je sisi wote kweli ni uzao wa Adam na Hawa?

    Hayo ni mawazo yako finyu huwezi thibitisha bila mashaka yoyote
  13. BRUCE LEE

    JamiiForums Tanzania Mh Rais amemgundua mnyama mkali TRA

    We jamaa hua unanifurahisha sana kwa maneno yako hahahaha eti magundu.
  14. BRUCE LEE

    JamiiForums Tanzania Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Mkuu usitake kuudanganya umma tayari qur an imeeleza point blank kua dhurqarnain alifika mpaka sehem ambayo jua linazama katika tope jeusi na akawakuta watu wanaishi eneo Hilo...Sasa hapo unahitaji Nini imam shafii,hambal, malick au hannaf waje wakufafanulie? Kubali tu tushapigwa changa la macho...
  15. BRUCE LEE

    JamiiForums Tanzania Kuna mapungufu makubwa katika dhana ya uelewa kuhusu maandamano miongoni mwa wananchi wa kawaida

    kwani kuna MTU kakulazimisha uandamane? kaa na mkeo Fanya nae mapenzi Wakati wenye uchungu na nchi yao wakiandamana....wewe ni sehem ya tatizo kama huoni haya yote basi utakua una upofu wa akili....
Back
Top Bottom