Nina ndugu yangu amepata changamoto ya anal fistula amefanyiwa operation mbili tatizo lipo katika hatua za awali anatokwa na maji kidonda hakifungi na mwezi 6 mwaka huu wamemfanyia operation nyingine kwa kufunga njia ya haja kubwa wamemtoboa tumbo uchafu unapita hapo.Tunaomba mwenye ushauri kwa...
Wakuu Habari
Najenga nyumba ya vyumba vitatu Bagamoyo nimefikia kwenye boma nahitaji kupaua,kuweka grill za madilisha na milango 2 wa nyuma na mbele, plasta,kuweka floor rafu.Naomba kujua gharama za makisio za ufundi wa vitu nilivyoelezea hapo juu iwapo kuna nyongeza ya vitu vingine muhimu vya...
Serikali ijikite kuangalia na kuchukua hatua kwa kituo cha mkata kwenye suala la Afya .Juzi wakati nasafiri kutokea Tanga tulisimama hapo kupata Chakula nilichukua takeaway wakati nipo kwenye gari nimeanza kula nikahisi nimekula Chakula kilicholala na kimechacha ilibidi nikitupe kwenye...
Habari wakuu
naomba kubadilishana nae nije Halmashauri ya Kibaha,Bagamoyo,Mkuranga,Chalinze na Halmashauri zote za Mkoa wa Dar na wewe uje Mkoa wa Singida,Halmashauri ya Singida Vijijini
Wadau nimekuwa nikitumia njia kadha kupunguza kitambi ikiwepo kufanya mazoezi kwa bidii,kutokula vyakula vya mafuta kwa wingi na kufanya diet.Lakini naona juhudi zangu zinagonga mwamba naelekea mwaka bila mafanikio.Mwenye njia ya ziada anisaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.