Recent content by Brownj

  1. Brownj

    Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Niunganisheni na dalali wa karume au ilala Tafadhari natafuta chumba hayo maeneo
  2. Brownj

    Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Umekatisha utam jaman ongezea nyama
  3. Brownj

    Nifanye nini niongeze kipato chagu

    Kilimo isiwe sehem ya wewe kukimbilia baada ya KUKATA TAMAA kifanye kilimo kama mpango kipaombele baada ya mengine kuwa magum amini kuwa kilimo ni kizuri sana ukiandaa vyema mawazo ya utekelezaji pesa isiwe kikwazo kiasi hicho na muhim zaidi umesema unayo ardhi aisee usipoteze mda kaandae maisha...
  4. Brownj

    Nifanye nini niongeze kipato chagu

    Lakini pili usiwaze vikubwaaa ambavo vipo nje ya uwezo wako ungeweza kuanza na kias chochote kufanya harakati binafsi ila kibaya sana umenyimwa mda So nakushauri tafuta marafiki wa ukweli kama bado huna,, washirikishe mawazo yako upate sehem ya kuegesha tu Kila laheri mkuu
  5. Brownj

    Nifanye nini niongeze kipato chagu

    Kwanza kupata wazo hilo hongera sana
  6. Brownj

    Naomba kuuliza kuhusu kampuni ya Alliance global

    Cheza tatu mzuka unaeza shinda apo kimbia
  7. Brownj

    Naomba kuelekezwa haya kuhusu mafao ya NSSF

    Kama kuna mtu unamjua mm nipo tayari kuhonga mkuu
  8. Brownj

    Wale wote waliokosa Admision tukutane hapa tushauriane

    Si kweli jamaangu ana div3 kachaguliwa udsm na udom
  9. Brownj

    Uombaji wa vyuo awamu ya pili

    Absolutely legend,, aandae kilo kadhaa mimi nilikaa semester3 buku ilikua inatosha mlo wa siku nzima asubui kavu mchana miogo mitano jioni miogo minne na chai ya rangi siku imeisha dah mabibo sokoni kule sjui adi leo izi mambo hahaaa [emoji12] [emoji12] [emoji12] you made my day brother
  10. Brownj

    Uombaji wa vyuo awamu ya pili

    [emoji12] [emoji12] [emoji12] salute boss umeiva hahaa mlemle ila anyways ajaribu mdau huenda ikawa easy
  11. Brownj

    Uombaji wa vyuo awamu ya pili

    [emoji3] [emoji3] daah umenikumbusha mbali sana mkuu ivo yan hasa ako kaneno retirement bado hahaaa atari sana atasugua mwisho anaweza ata akarudi hom sjui kitu gani sjapitia upande wa izo changamoto Pale hesb utaskia napishana na liboss yupo habar za saiz vip bakari kaenda kupata chai...
  12. Brownj

    Uombaji wa vyuo awamu ya pili

    Yalinikuta mkuu nikala jeuri yangu adi nikazoeleka heslb adi tcu walijua mimi ni mmoja wa wafanyakaz pale maana kila siku nipo
  13. Brownj

    Uombaji wa vyuo awamu ya pili

    daah mkuu umenena vema Namshauri na kumsihi sana asifanye transfer KABISA [emoji15] [emoji15]
Back
Top Bottom