Recent content by brown green

  1. B

    Kata ya Berege, Wilaya ya Mpwapwa tumeanza kusomeshwa namba ya CCM

    Mleta mada umenitoa pangoni. Yaani katika mikoa ambayo naiombea mabaya sana, Dodoma ni ya kwanza kabisa katika list.
  2. B

    Professor Assad ni tunu ya Taifa

    Natafuta kitufe cha like nielekezeni
  3. B

    Professor Assad ni tunu ya Taifa

    Nilidhani ili hoja yenu iwe na nguvu mngeonesha hata kwa mifano kuwa jamaa amefanya mambo gani, bahati mbaya sana wote mmeishia kubwabwaja, mtendaji mzuri hasifiwi kazi zake ndio zinamtangaza ukiona watu wanatumia nguvu sana ujue kuna tatizo mahala. Wapi kitufe cha like mkuu?
  4. B

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Kwa sasa tujiandae kuona mpambano wa bwana toka mashariki na bwana toka magharibi kwa mwanamwali bikira asiyemjua mume. Vizawadi vimeanza kutolewa, majigambo na tambo vimeanza. Maskini mwanamwali bikira wala hajisumbui kutafakali mustakabali wake
  5. B

    MTIKISIKO kuikumba tena CCM, Viongozi maarufu na wasanii maarufu 18 kuikacha

    Hao wasanii kazi yao moja tu. Tunadownload na kuburn nyimbo zao na hatuwaungi mkono tena katika harakati za kutafuta haki zao. Tutaongeza mbinu za kuwanyonya.
  6. B

    Home Shopping Centre: How do they do business?

    Mkuu Ocampor four mimi nimeona katika gazeti la Dailynews la tar 19.oct.2015 eti wanafanya voluntary winding up hawa HSC. Nikawa na maswali mengi. Au hawa ndio ambao Gazeti la Uhuru na wana CCM wanasema ''watu wenye asili ya Asia wamefunga biashara zao kwa kuogopa vurugu za CHADEMA?
  7. B

    Kwa mdahalo huu wa leo tuwakatae CCM/Ukawa na tumpe kura Mgwhira

    Brother! mjinga hupayuka ujinga wake wakati ambao mwenyehekima hukaa kimya kwa kuwa ni karama toka kwa Mungu. Sikulaumu wewe hata kidogo nalaumu wazazi wako kwa kukusomesha shule za kata chini ya CCM na wakiongeza madaraja ili watu kama wewe muonekane mmefaulu. Vote for Lowassa ili angalau...
  8. B

    Kwa mdahalo huu wa leo tuwakatae CCM/Ukawa na tumpe kura Mgwhira

    Mleta mada nadhani ama uwezo wako ni mdogo kichwani ama umeamua kupotosha makusudi. Ina maana hukujiuliza maswali yafuatayo? .mbona wauliza maswali walijulikana kabla tena kwa majina na mswali yao? .mbona wauliza maswali walikuwa wanasoma vikaratasi ambavyo vyote vinafanana? Nani kaandaa maswali...
  9. B

    Magufuli kila kitu unaiga UKAWA

    Leo nimeshangaa eti magufuli anasema ''wenzangu wa Ukawa wanafanya ishara ya V sasa hii ukigeuza chini na zikawa mbili inakuwa M for Magufuli'', sasa najiuliza huyu mgombea hana think tank au ya kwake ni re active?
  10. B

    TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    RIP Kombani. Katika vifo hivi kuna kitu nahisi Mungu anataka kutueleza Watz. Huyu alikuwa ni Waziri aliyesema hadharani hataki Katiba Mpya. Mwingine ni John Komba (RIP), yeye alisema ikibidi atakwenda msituni ili katiba mpya isipite. Tunataka ishara gani Watz ili tuelewe Mapenzi ya Mungu kwetu?
  11. B

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Huyu Aidan na Twaweza anafanya Civil Society Organizations zote zidharauliwe na kuonekana ni wajanja wajanja wa mjini Ofisi mifukoni na watafuna hela za wafadhili. Ni aibu kwake. Natamani kuona other CSOs zikitoka hadharani na kukemea udhalilishaji huu wa michango muhimu wa CSOs ambao Twaweza...
  12. B

    Hili linathibitisha ushindi wa UKAWA katika uchaguzi mkuu

    Huyo Dr. Francis Michael ana cheo gani ktk CCM? Au ndio kutapatapa ?
  13. B

    Ina maana mabinti wa kitanzania mmefikia hatua hii au ni uhaba wa wanaume?

    Mleta mada atakuwa waoM amedata na ENL sasa anaondoa stress
  14. B

    Waraka kwa Dr. Slaa

    Nawaonea huruma sana watanzania kwa kumwamini Magufuli Kigamboni alisema pigeni mbizi kama hamuwezi kulipa 200. Biharamulo walipomuomba suala la maji akawaambia wakusanye ndoo wajaze mkojo wafanye maji Kwake walimuomba barabara ya lami akawaambia wachukue ndoo wajaze kinyesi wapake barabarani...
Back
Top Bottom