Recent content by Brother Malcom

  1. Brother Malcom

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    naona wadada wengi wanatumia app kuchora shepu, ukiangalia kwa makini hadi mabomba yanapinda
  2. Brother Malcom

    Wadada wazuri mna shida gani lakini?

    DON'T HATE THE PLAYER HATE THE GAME
  3. Brother Malcom

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Naona crocs ya mtoto kulia kwa chini, hapa lazma aggregate inasoma moja au mbili😅
  4. Brother Malcom

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Duh naona dildo ipo pembeni, kushoto kwake kwa chini😅 Ina maana manzi kama huyu hana mhuni wa kumkuna vizuri mpaka awe na dildo au ni lesbian?😅
  5. Brother Malcom

    Ushauri: Nina wazo la kukopa pesa benki nichukue bajaj

    Naomba kujua, Hio bajaji unayonunua kwa mkopo utaendesha wewe au unampa kijana aendeshe? Kama utaendesha wewe it will be better, and all the best Ila kama unampa kijana jiandae kuichukia mikopo
  6. Brother Malcom

    7 natural laws of business

    Mkuu no disrespect, ila nondo zako unaizelezea in General, go deep tafadhali unavosema, "asilimia 80 ya mafanikio ya biashara yanamtegemea mjasiriamali" hizo 80% ni vitu gani, tufafanulie, ni mambo gani hayo inabidi mjasiriamali afanye ili afanikiwe, usiseme tu 80% Pia unavosema " 20% ni...
  7. Brother Malcom

    7 natural laws of business

    Mkuu kwenye LAW OF CONCEALMENT, umesema "watu wasijue utakachofanya next wastukie tu umefanya" Je watu gani wasijue?, pia kwenye ulimwengu wa sasa ukitaka kuanzisha biashara inakua changamoto kuficha kabisa watu wasijue, lazima ufanye tafiti, lazima uulize maswali kwa watu ili ukusanye taarifa...
  8. Brother Malcom

    7 natural laws of business

    Mkuu nice thread, nimekufatilia kuanzia thread ya "THE DARK SIDE OF BUSINESS", unaweza kutoa maelezo zaidi ya namna ya kutumia Damu ya mwana wa Mungu kwenye biashara zetu
  9. Brother Malcom

    The dark side of business

    Title ni Dark side of business, na hii ni jukwaa la biashara, kama unaona hakuna content yoyote kwenye hii thread ambayo inaweza kukufundisha kitu, you can just humbly ignore it maana wapo wanao burudika na pia kujifunza at the same time kupitia hii thread Ungekaa tu kimya, responce yako...
  10. Brother Malcom

    Hujafa Hujaumbika-Biashara ni Mapambano

    Post nzuri mkuu mkuu naomba kujua, je kwa huku Tanzania kuna trust fund ambazo zipo reliable kumanage asset zetu?, nimefatilia na kusoma sana kuhusu trust funds, na jinsi millionaires wa nchi ze wenzetu wanavo zitumia, na kuzi utilize kupata benefit, wengine hata wakifa unakuta waliandika na...
  11. Brother Malcom

    Kwanini fedha zetu Tanzania shillings zinashuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1

    Mkuu hii account ya dollar ya stanbic, wanacharge kiasi gani kwa mwezi? Makato yake yapoje?
  12. Brother Malcom

    Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

    Yani kupitia ur comment, inaonesha wazi the lowest the level of Logic ambayo ipo kwenye kichwa chako Kwanza wewe ndio upo BIASED sababu nkipitia comment za wadau, unapinga comment zingine ambazo ni facts na za kweli. Ushajiwekea kupinga chochote na ushaweka ur say as final. Turejee kwa upande...
  13. Brother Malcom

    Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

    NOTE: HII COMENT HAIJAANDIKWA KWA MADHUMUNI YA KUJISIFIA BUT NATAKA NKUFUNGUE AKILI, I GUESS YOU WILL LEARN A FEW THINGS Mimi ni mtoto wa professor kwenye moja ya reputable universities hapa nchini First, jifunze kutofautisha Flashy life style (maisha ya online) na Humble lowkey life style...
Back
Top Bottom