Recent content by brother aloy

  1. B

    Line ya Tigopesa 200,000/=

    Ongeza kidogo
  2. B

    Line ya Tigopesa 200,000/=

    Nipo kimara kwa msuguri
  3. B

    Line ya Tigopesa 200,000/=

    Line ya tigo pesa inauzwa 200000 piga 0654869008
  4. B

    LG red TV 32 inch 480000

    0654869008
  5. B

    Citizen tv ya Kenya inaonyesha kampeni za Lowassa tu

    Citizen inamilkwa na SK macharia na sio aga khan wa national media group
  6. B

    Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    Mnyika mbona kamnadi lowassa hapa kibamba
  7. B

    Bernard Membe awapa angalizo waangalizi wa Uchaguzi

    Waziri wa mambo ya nje Bernard Membe amesema kuwa waangalizi wa ndanI na nje hawatakiwi kutoa tarifa zozote kwa umma kabla ya kuwasilisha kwa Tume. Amesema kuwa wao wapo hapa sio kama mameneja Bali ni waangalizi. Amesema hata kama wakiona mapungufu wanatakiwa wawasiliane na tume wao ndio wenye...
  8. B

    Niliyoyaona Kenya, Tanzania is better a million times

    Ahahaaa Kenya ipo mbali sana zaid ya Tanzania hata UKienda ulaya ukisma umetkea east Africa utaambiwa Kenya watu awaijui Tanzania uko ulaya..ila jaman Tanzania na mashida yetu mengi yote unaacha kuyajadili unaongelea ukabila wa Kenya. Thus ccm itaongoza mlele coz wananch wa Tanzania weng malofa...
  9. B

    Humphrey Polepole on Star TV: Hama Hama katika Vyama, ni kwa Maslahi ya Nani?

    Mimi ni mwanahabari kitahaluma ila media kama star TV znatufanya kuona aibu kujitangaza hadharan kuwa ww ni mwanahabari. Anaulzwa maswali ambayo aliwaambia wamuulize
  10. B

    Aden Duale: CCM Itadondoka kama KANU

    Acha uongo ww kanu imtka 2002 na huko jubilee aikuwepo jubilee ni chama kpya cha siasa kilchoanza mwKa Jana apo mwanzo 2012 jubilee ilkuwa ni mungano wa urp ya ruto na tna ya kenyatta sasa wanataka uchaguz ujao waw na chama kimoja tuu ambacho ni jubilee
Back
Top Bottom