Recent content by brookside

  1. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

    Asante mkuu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

    Hivi CAG hawezi kuondolewa kabla ya kipindi chake cha kustaafu yaani hawezi kutumbuliwa kwa mujibu wa sheria
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dar: TRL yabomoa nyumba kadhaa eneo la Buguruni

    Tanzania inafuata siasa za kibepari au siasa za ujamaa na kujitegemea
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dar: TRL yabomoa nyumba kadhaa eneo la Buguruni

    Omba Mungu sana kumbuka waliojenga walisukumwa na umaskini na sio maamuzi yao binafsi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

    Kwani moshi na arusha hakuna asalali niambie ni mkoa gani unaoingizia dola nyingi taifa ukiachilia mbali moshi na arusha
  6. B

    JamiiForums Tanzania Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

    Yaani hiyo miji ndo tanzania wengine watazunguka ila ukweli utabaki kuwa ukweli kwanza Moshi na Arusha zingestahili ziwe ulaya na sio Afrika
  7. B

    JamiiForums Tanzania Masikini Manji, kabanwa kila kona!

    Ukiwaza unaweza kulia sijui wabongo tumelogwa na nani
  8. B

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere aongea na Wanahabari, amkaanga Wema Sepetu na Mama yake, Wasanii hawaidai CCM

    Huyu dogo ni mchanga wa siasa bora aachane na siasa atafute kazi nyingine point zake ni lain laini utafikiri ni uzi wa mtoto mchanga
  9. B

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nimepata kitu juu ya mahakama na kesi ya Mbowe

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nahisi inaguza mfupa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Serikali imevifuta Vituo vyote vya huduma za Afya ya VVU na UKIMWI kwa watu wa makundi maalumu

    Wanamaanisha hadi vile vituo vya USAID
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Home Shopping Center atembelewa na mkuu wa mkoa wa Dar

    Home shopping center si lilitolewa tangazo wakati ule kwamba imefilisika
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

    Wakuu simu yangu ilikua coloured lakini now ni black namaanisha maandishi pamoja na sceen ilikua coloured lakini kwa sasa maandishi ikiwa ni pamoja na gallery vyote vinaonyesha nyeusi hili tatizo halihusiani na kuroot simu wakuu naombeni mnifahamishe
  13. B

    JamiiForums Tanzania Makonda: Ukimwagia mafuta kwenye shimo kila aina ya nyoka wataanza kutoka

    Watu mna vituko
  14. B

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    Roho ya kimasikini
Back
Top Bottom