Recent content by bromio

  1. B

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Walisema Spika dhaifu wakaingia kwenye 18 zangu

    Tunavuna tulicho kipanda, watu wenye akili wako mtaani yani wametulia huwezi amini afu ma******mbu ndo viongozi wetu eti! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania CNN: Makampuni 5 ya uchimbaji dhahabu hayajawahi kulipa kodi ya dola bilioni 40 tangu 2000

    Lumumba acheni kutoa povu shusheni neti mlale haya yote mmesababisha wenyewe yaani kibinadamu hamna la kujitetea labda Kwa Mungu tu, nendeni mkatubu haraka sana Kabla siku haijaja ambayo kwayo mtalia na kusaga meno.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Upasuaji wa kurudisha bikra unavyofanywa

    Used ni used tu!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Timbulo amtumia salam Vanessa Mdee, amuambia kama alikuwa hamjui basi keshamjua

    Afu dada zetu bana, ukimsifia kua ananywele nzuri anasema asante wakati kavaa wigi! Akili zao wanazijua wenyewe.
Back
Top Bottom