Timbulo amtumia salam Vanessa Mdee, amuambia kama alikuwa hamjui basi keshamjua

Status
Not open for further replies.
Venesa namchukia sana ,anajifanya muzungu kila Mara anarusha minywele yake ya wafu
 
Vanessa mdee sindo yule anaimba anaomba kurogwa! Hivi nae anafanya mashauzi kwa lipi sasa jinsi alivyoji-fake fake ndo anaona ameula sana
:D:D:D:D:D:Djux anamoyo kama cyo roho. Kijitu kama mua mkav pakushika amna ase mbaya kumpenda mtu kisa umaaluf. Ninachofaham kwa urka ya boys uwez miliki range alaf uje pewa pikpik. Yaan uwez miliki dem mwenye msambwanda alaf uje kupewa mifupa useme unampenda uongo mtupu, kwa tz aipo iyo
 
Hahahaaaa mkuu umemaliza kila kitu

Jux kampenda kwa hasira tu kutokana na demu wake kukamatwa kule China
 
Sikutegemea kama watu mtatokwa povu hivi, ukiona kidume anamponda sana demu ujue anamtamani na anajua hana namna ya kumpata
 
Sikutegemea kama watu mtatokwa povu hivi, ukiona kidume anamponda sana demu ujue anamtamani na anajua hana namna ya kumpata
Yaani niwekewe pale gmoney na vmoney naabeba g. Wewe mwanamke ujui cc tabia zetu mwanaume mwembamba anapenda mwanamke mwenye kujaa,au kunona japo c sana ila lazima aonekane tako kiuno na mengine,na mwanaume mnene anapenda dem mwembamba.Sisi wanaume tunajijua wenyewe tukiwaambia ukwel amtak acha tuwadanganye kila cku.
 
Mimi dume wewe, halafu mimi pia ni shabiki mzuri wa mizigo, but pamoja na hilo siwezi nikachagua ile takataka Giggy nikamuacha Vannesa
 
Mimi dume wewe, halafu mimi pia ni shabiki mzuri wa mizigo, but pamoja na hilo siwezi nikachagua ile takataka Giggy nikamuacha Vannesa
Najua uwezi ila mfano tupewe tuish nao miezi 6 utamtaman g. V makongolo kibao akuna pakushika pakashikika. Broo acha kabisaa kama ww unapenda mizigo basi lesen yako ndogo kwa watu kama cc tuliojaza kitabu saiz demu wa 60 bik ya 10 usitegemee nitamchagua vmoney.
 
Hapo kwa Gigy Money weka Snura ndo naweza muacha Vannesa
 
Wanawake wana vituko sana akienda kuhojiwa hata kwenye TV show flani basi utakuta kavalia ile minywele yao fake basi kila muda anaongea anairusha rusha nyuma anajiona mzungu
Minywele feki pia wao wenyewe ni feki Ndio maana hata nyimbo zao ni feki. Yaan wamekaa kifekifeki tu.
 
Afu dada zetu bana, ukimsifia kua ananywele nzuri anasema asante wakati kavaa wigi! Akili zao wanazijua wenyewe.
 
Labda alikataa kutokana na hilo jina!! Eti Timbulo! Kuna majina yenye nguvu ya kuubeba u-star!! Siyo unajiokotea lijina lako huko dampo halafu unataka kuliweka kwenye kapu moja na u-star!! Vyote vitanuka! Sisemi atumie majina ya kizungu!!fanya utafiti utagundua mastaa wengi wenye majina ya kueleweka huwa wanakuwa tofauti,kuna majina yanaweza kubaki kwenye midomo ya mshabiki kwa muda mrefu hata ukiwa haupo juu! Kuna jina hata kama uko juu mtu anashindwa kulitamka! Wasanii wajitahidi kuja hata na hizo hizo stage names ila ziwe angalau zinatamkika!! Siyo tumbulo!! Kha!
labda kapewa na mganga wake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom