Recent content by brokergeneral

  1. brokergeneral

    Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

    Hakuna haja ya kwenda ataenda achangie nn MTU mwenyewe ni coward
  2. brokergeneral

    Rais Magufuli, Mchawi wa Mzunguko wa fedha nchini ni Serikali kupitia CRDB, NMB na NBC!

    Huyu jamaa hatak aonekane ameharibu mambo yuko hiari kusingzia MTU mwngine ili yy aendelee kuonekana MWema,
  3. brokergeneral

    Uchumi wa Tanzania unaelekea wapi? Mauzo DSE yashuka kwa asilimia 81. Haijawahi kutokea

    Uchumi unaendelea kupaa tu kila kukicha wananch hii ndo tz ya viwanda, nlisema sitawaa gusha sasa mnaona matokeo yake
  4. brokergeneral

    Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    Ivi aliekuwa anahojiwa alkuwa ngereja au zitto? Sasa wewe umekamatwa badala ya kutetea nafsi yako unaanza kuingza watu wengine tuhuman duh ukixhindwa jitetea n shida xana,
  5. brokergeneral

    Mahakama ya Kisutu yamtaka Lissu kufika mahakamani kujieleza kwanini asifutiwe dhamana

    Hao wanatafuta kufuta kale ka aibu alikowaachia lissu
  6. brokergeneral

    Anayeamini Serikali ya Magufuli inajali wanyonge ajitokeze na atupe ushahidi kutetea imani yake

    Serikali ya kinafiki huumiza wananchi wake bila wananchi waliowengi kujua achen waxhangulie mana wako usingzin wakija kuamka na wakute hata kile kdogo walichonacho hawana ndipo watajua
  7. brokergeneral

    Utafiti wa Twaweza: Watanzania 96% wanampongeza Rais Magufuli

    Utafiti nyanya xana ila basi mana hii ndo tz the strange nation
  8. brokergeneral

    Mtandao hatari Tanzania unaoisaka Ikulu usiku na mchana

    Huyu anatafuta kuteuliwa, subiri tu mkuu aje aisome thread yako muda si mrefu utackia kapangiwa kaz
  9. brokergeneral

    Tafiti za TWAWEZA zina manufaa Gani katika maendeleo ya Nchi Yetu?

    Wanaishi kwa uoga xana hawa jamaa yan hawataki kusema ukweli kwa kuogopa kutumbuliwa duh! Maixha ya bongo ni shida bora uwe sisimizi ulaya
  10. brokergeneral

    Mbona tafiti zimekuwa nyingi kipindi cha Rais Magufuli kuliko kwa Kikwete?

    Kuingia madarakan kwa kubebwa kuna hangaisha sana ni lazima Mara kwa Mara uwe unacheki kama wananchi wanaridhishwa na unachokifanya au ni hapana ili utafute njia ya kuwaaminisha
  11. brokergeneral

    Lowassa kugombea tena Urais Mwaka 2020, asisitiza yupo fiti

    Hakika hii imekuwa kansa kwa wafanyakazi kwani awamu hii wanafanya kazi zao kwa uoga na hofu kubwa kitu ambacho kinawafanya wachukie hata kaz zao na hii itawafanya waishi maisha ya kitumwa kwan mm nijuavo uoga kupità kiasi hutengeneza mazingira ya utumwa. Aisee polen sana all government...
  12. brokergeneral

    Rais Magufuli yashamshinda?

    Kuongoza kwa sifa creates a very big mistake huyu jamaa anastahili kupimwa na kukemewa kwa nguvu zote kwa blunders zote anazofanya kwan wakenya husema" ukimwona nyani anakula mahindi kwenye shamba la jirani basi huna budi kumfukuza kwani huwez jua kesho atakula mahindi ya xhamba la nani"
  13. brokergeneral

    Rais Magufuli atahudhuria UN General Assembly Jumatatu?

    Waoga husingizia mengi na Kuwatumia wengine mana wao wanaogopa. Wa Nigeria wanaxema ivi " a king is more noted than ten normal people"
  14. brokergeneral

    Mwanaume ajitokeza na kudai ameporwa demu na Nuh Mziwanda!

    Sasa kumbe n demu tu mim nilidhan mke wake wa ndoa sasa huyo demu manake hajapata wake wa maisha ivo hakuna koxa la yeye kuchukuliwa na jamaa mwingine
  15. brokergeneral

    Kwanini matusi dhidi ya Rais Magufuli hayakomi kwenye mtandao?

    Duh! Pole kwa kufanya kitu kama hicho mana yawezekana umejkuta tu umepost unknowingly
Back
Top Bottom