Recent content by bro u

  1. bro u

    Nafasi za masomo katika chuo cha maji

    Na vijana waliosomea art wanaweza jiunga na cozi gani hapo chuon
  2. bro u

    Njia gani nitumie watoto wangu wawe na akili darasani?

    Bro chamsingi kaa na vijana wako wakupe mawazo kipi wa wapenda au kipi hawapendi coz unaweza waburuza kusoma kumbe wana fani zao ka unavyojua kila MTU ana fani yake so ongea nao washilikishe mawazo.
  3. bro u

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Poa bro asnte
  4. bro u

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Jamani mm viroboto vinatesa sana vifaranga nifanyeje coz banda nalifanyia usafi kila siku lakini viroboro vinaingia na kunasa kwenye macho na chini ya mdomo wa kifaranga. Plz msaada naomba
  5. bro u

    Naomba kujua kama Naweza kupata kozi ya ualimu kwa vyuo vya serikali?

    Tatizo ni sm sio kwamba nimeandika kimakusudi na kama MTU akiomba ushauli kwa muda mhuu unapaswa kuangalia hari tulio nao hivyo ni vyema ukamshauri asomee kitu ambacho anaweza kujiajili mwenyewe sio kutegemea ajira katika serikal plz
  6. bro u

    Msaada wakuu,kwa ufaulu huu

    Kasome kilimo
  7. bro u

    Naomba kujua kama Naweza kupata kozi ya ualimu kwa vyuo vya serikali?

    Mdogo angu kasome ICT ni ni nzuri kuliko ualim binafsi mm ni mwalimu lakini dah sikushauli uingie ualim naenda ict
Back
Top Bottom