Naomba kujua kama Naweza kupata kozi ya ualimu kwa vyuo vya serikali?

mbesri

Member
May 16, 2017
21
10
Wadau mimi nimehitimu kidato cha nne mwaka jana,
Kwa ufaulu wa division 3 ya 25 lkn kombi zikagoma.
Naweza kupata kozi ya ualimu kwa vyuo vya serikali?
 
Tatizo ni sm sio kwamba nimeandika kimakusudi na kama MTU akiomba ushauli kwa muda mhuu unapaswa kuangalia hari tulio nao hivyo ni vyema ukamshauri asomee kitu ambacho anaweza kujiajili mwenyewe sio kutegemea ajira katika serikal plz
 
Back
Top Bottom