chiddy boy
Member
- Jan 2, 2017
- 86
- 25
- Thread starter
- #21
Mkuu naona umefurahi sana,ila ndio hivyo yamentokea,phyz ilikuja sivyo ndivyo ndo maana yaniHahhahhhah its doesnt bring any relevance etii physics F math C duuu
Mkuu naona umefurahi sana,ila ndio hivyo yamentokea,phyz ilikuja sivyo ndivyo ndo maana yaniHahhahhhah its doesnt bring any relevance etii physics F math C duuu
Sema hapo utafiti kwa kozi za biashara hasa kwa diploma ila ukiweka vizuri form six unaweza pata kozi za ardhi university nyingi tyuu zipo zinazohusisha kombi ya EGM so kazana upo pazuriii little brosMkuu naona umefurahi sana,ila ndio hivyo yamentokea,phyz ilikuja sivyo ndivyo ndo maana yani
Ahsante mkuu kwa apoSema hapo utafiti kwa kozi za biashara hasa kwa diploma ila ukiweka vizuri form six unaweza pata kozi za ardhi university nyingi tyuu zipo zinazohusisha kombi ya EGM so kazana upo pazuriii little bros
Kupitia coz gan mkuuKasome kilimo
Wakuu hivi ukiwa na phy D chm C bioz C eng C na math F unapiga afyaJe mwanilivyo pata naweza nikapangiwa comb ya EGM kwa shule ya serikali maana ndio niliiweka kuwa ya pili katika uchaguzi wa combination
AnapigaWakuu hivi ukiwa na phy D chm C bioz C eng C na math F unapiga afya
Samahanini wakuu naongezea apo,je na kwa coz za engineering kwa ufaulu huo ninaweza kupata kupitia matokeo hayo,na kama nafaa ni kozi ipi ingenifaa kwenye engineeringMe nimehitimu kidato cha nne mwaka jana,nilikuwa naomba ushauri wenu wakuu,kupitia matokeo yangu haya yafuatayo,
English B
Math C
Bios C
Geo C
Chem D
Phyz F
Kiswa C
History D
Civic D
Kupitia matokeo hayo ni coz gani ya science ingeweza kunifaa ili niweze kufanya application niweze kupitia diploma,au coz yeyote ile ya business,ushauri wenu wakuu nahitaji kwa hili