Recent content by Brilucy

  1. Brilucy

    Cheka kwa tahadhari

    Kichaa mmoja wa kiume alikatiza porini akiwa uchi kama alivyozaliwa wanyama wote wakatoka spidi kumkimbia. Fisi akamuuliza simba, imekuwaje hadi wewe mfalme wetu umekimbia? Simba akamjibu weee! nani hajipendi? Tokea nzaliwe sijawahi ona mnyama mwenye mkia kwa mbele. #MAN_VIBES
  2. Brilucy

    Msaada kwa Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza hadi cha 4

    Mwanafunzi wa Sekondary Kuanzia Form 1-Form 4 weka swali linalokutatiza then usaidiwe na walimu waliopo humu na wenye uelewa na mada husika. **karibuni Msiogope**
  3. Brilucy

    VYUO VYA AFYA.

    Samahanini Ndungu..Kwanza Habarin Za Wakati Huu. Mimi Nina Swali.. Hivi Ukitaka Kusomea MD Ni Miaka Mingapi After Kumaliza Form 6. Na Je Ada Yake Inacost Ngapi Kwa Mwaka Kuanzia Mwaka Wa Kwanza. Ufafanuzi Tafadhali.
  4. Brilucy

    Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

    Duuh..Ko Msiniambie Uyo Chinjachinja Nae Alikufa Akafufuka?
Back
Top Bottom