Habari zenu mabibi na mabwana!!
Ninaomba maelekezo kwa wadau wa mazoezi na pia wale watu wote wanaotumia vifaa mbali mbali vya mazoezi, naomba mnijuze kuhusu ab roller. Je ni sahihi kwa wanawake kukitumia?
Nimekuwa nikikitumia wiki mbili sasa yani tumbo linaisha kwa kasi ya ajabu sana.. ila...
Mkuu yani sijui nikuelezeje.. niliota navuka mto mara tatu... nilikuwa nimekwama kwenye jambo miaka 6 baada ya ndoto ya kuvuka mto nimetoka kwenye hilo kasheshe kwa upesi sana baada ya hiyo ndoto..
Pole sana mimi nipo hivyo yani nikiota ndoto ni balaa na balaa zaidi ile ndoto ikija mara tatu ohoooooo!!!! Kuna dada niliota anapiga picha na mume wake ila mume wake hana mkono.
Nikaota tena wamefilisika nikaota huyo dada ana mimba ya miezi 9 anahangaika aende wapi... mpaka sasahivi wana mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.