kawashika vibaya maana kaanza na hoja zenye ushahidi ulio wazi na zaidi ya yote alipotaka kuthibisha kuhusu uwepo au kutokuwepo kwa hati ya muungano.
eti tbc wanajidai kuwa ni poor signal "WALIOZOEA KUISHI KWA UONGO KAMWE HUWA HAWAUTAKI UKWELI"
Ngoja utaona baada ya nusu saa ya ufafanuzi wa...
Najaribu kufuatilia ccm mbeya maazimisho miaka 37 CDM ndo inatajwa na kila anayesimama kuongea.
Kila anapoongea Nape lazima amtaje Dr. Slaa.
Dah! kweli nimeamini cdm na slaa wanaipa ccm mawazo maana kuna vyama zaidi ya 20 Tanzania lakini chama kimoja tu ndo kinatajwa yaani cdm.
Kweli cdm...
Hizi njaa zitatumaliza. Wamuulize Marlaw awasimulie habari njema za magamba.
Ila ngoja wazitumie hizo kodi za wananchi badala kufaidiwa na baadhi ya watu kama wabunge.
Wanavyoonekana wote wamejivalia ngozi ya kondoo kwa mizigo kumbe.....kama huamini cheki vizuri pigo la JB.
Hili gazeti la mwananchi siku hizi si la kuamini kabisa limekuwa kama ijumaa weekend yani linaendeshwa kwa fununu tu bila uhakika.
Kama habari ya tibaijuka iliyoandikwa kwa kujinasibu kupata taarifa hiyo kutoka chanzo chake cha kuaminika imekanushwa na kumuomba waziri msamaha waziri iweje hii...
kaka makene kwa majibu fasaha saaana ulomjibu manyerere nakupa heko na unanifanya niimbe wimbo special unaoendana na wa dini uimbwao "neno litasimama" kwa cdm nauimba hivi;
chadema itasimama,
chadema itasimama,
maccm yatapita lakini chadema itasimama.
chadema itasimama,
chadema itasimama...
kuhusu sifa zake soma rasimu ya pili ya katiba imeeleza atatakiwa kuwa na sifa kama zile zilizoainishwa kwa mgombea toka chama chochote cha siasa kilichosajiliwa kisheria.
nadhani hata uteuzi wa baraza la mawaziri lazima atafuata utaratibu kama katiba ilivyoainisha kuhusu baraza la mawaziri...
"waheshimiwa watanzania, mie nasema wapigwe tu. Eeeh maana kama wanaambiwa wasifanye hivi....wasifanye vile wao wanalazimisha kufanya, wapigwe tu na mimi nawaambia wasipobadilika watapigwa tu......eeeh maana tumechoka sasa na masalia"
"waheshimiwa watanzania, mie nasema wapigwe tu. Eeeh maana kama wanaambiwa wasifanye hivi....wasifanye vile wai wanalazimisha kufanya, wapigwe tu na mimi nawaambia wasipobadilika watapigwa tu......eeeh maana tumechoka sasa na masalia"
Kwanza kabisa naomba niwatakie wadau wote maandalizi mema ya kuupokea mwaka mpya wa 2014 masaa machache yajayo.
Hoja yangu ni kumhusu waliyemwita msaliti wa msimamo wa ccm kuhusu muundo wa serikali unaofaa kutumika Tanzania kwa wakati huu.
Ikumbukwe ccm wanaamini katika mfumo wa serikali...
Kwanza kabisa naomba nuwatakie wadau wote maandalizi mema ya kuupokea mwaka mpya wa 2014 masaa machache yajayo.
Hoja yangu ni kumhusu waliyemwita msaliti wa msimamo wa ccm kuhusu muundo wa serikali unaofaa kutumika Tanzania kwa wakati huu. Ikumbukwe ccm wanaamini katika mfumo wa serikali mbili...
Teh teh teeeeee!!!!!!!
mbona mlipotofautiana na mansoor kimawazo hamkuacha demokrasia ichukue nafasi yake?
au hiyo dekrasia mmeiona kwa MM na kikundi chake haramu?
dawa ya MM ni moja tu kumfukuza cdm ili tuione nguvu yake ya kinafiki anayojivunia huko kigoma na mm wenzake kama Kaburu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.