1. Ukiiba fedha za umma unaitwa mwizi/ fisadi. Ukiiba kura uitwe nani?
2. Ukilazimisha kufanya mapenzi kwa mtu unaitwa mbakaji. Ukilazimisha kututawala tukuiteje?
3. Ukichaguliwa kihalali unaitwa kiongozi. Ukichaguliwa kwa Ujanja, kwa kura za ujanja, kimagumashi tukuiteje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.