Recent content by Brightfame

  1. Brightfame

    JamiiForums Tanzania Qur-an description about the clouds

    Wanaoisifia hiyo Quran Yao na kusoma sana na kuikariri, sayansi yenyewe hawaijui, kwenye mitihani wanaruka na zero. Uvumbuzi na utengenezaji wa vifaa vya kisasa unafanywa na watu wasioijua Quran.
  2. Brightfame

    JamiiForums Tanzania Picha: Naomba kujuzwa hii ni aina gani ya jiwe

    Ni vidonge vya kutibu M-Pox
  3. Brightfame

    JamiiForums Tanzania Nina pesa nyingi kuzidi baba zenu

    Tajirisha ukoo wenu, mtutishe zaidi. Wenye fedha huwa hawasemi, mambo yao ndiyo yanatufanya sie unaotuita masikini tuwaite matajiri. Swine !!
  4. Brightfame

    JamiiForums Tanzania KERO Inakera sinki za kukojolea za vyoo vya wanaume kukaribiana sana bila vitenganishi

    Wasiwasi wa nini ?! Au hujaonana na ngariba ??!
  5. Brightfame

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa tajiri namba moja duniani bila kusoma shule

    Sawa dogo, ila kugeuza elimu kuwa pesa nayo ni Shughuli pevu !!
  6. Brightfame

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimenuniwa na mpenzi wangu

    Huyo alijenga chumba kimoja akaacha matoleo, njoo niongeze sebule na vyumba viwili tena, tuyasongeshe maisha !!![emoji1787][emoji1787]
  7. Brightfame

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

    Hongereni, ila mpaka leo bado hamna jiji mna manispaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. Brightfame

    JamiiForums Tanzania Imekuaje barabara karibia nchi nzima zinabomolewa na kuachwa kwa mda mrefu bila marekebisho

    Tulia dogo, bado tunafanya ile kwa kitaalamu inaitwa upembuzi yakinifu na waliochelewa kuona barabara Iko kwenye ukarabati waone [emoji1787][emoji1787].
  9. Brightfame

    JamiiForums Tanzania Kati ya Israel, Vatican na USA ni Nani mtawala wa ulimwengu huu?

    Vatican, Marekani ni bodyguard tuu.
  10. Brightfame

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mwanamke kunyonyesha hadharani?

    Kwani matiti ni uchi ?! Mbona wewe unatongoza hadharani, je ni sawa ?!
  11. Brightfame

    JamiiForums Tanzania Unatoa mil 50 kuwapa Yanga/Simba wakati kuna watoto wanakaa chini kwa upungufu wa madawati.

    Mwingine huyu huku !! Analipwa sh. 300,000/= halafu anaichangia Yanga 80,000/*= kila mara wakati wanae wanaenda shule bila viatu !!
  12. Brightfame

    JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba treni ya SGR Dar - Moshi - Arusha tumechoka na mabasi

    Labda angekuwepo jiwe muasisi wa SGR na aliyeifufua reli ya kaskazini iliyojifia more than 30 years ago !!
  13. Brightfame

    JamiiForums Tanzania Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

    Mbona mnatembea na dada zetu wanaokula kitimoto ?! Tena mnakula denda linalotokana na ptotini ya kitimoto !! Wantama wasioliwa ni wengi kwa nini shida iwe kwa kitimoto tuu ??! Elezea.. Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  14. Brightfame

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mushi wa Ilboru apewe maua yake “Nishani ya kitaifa”

    Haina tofauti na kiongozi X aliyeenda kuangalia mpira uwanjani, halafu vyombo vya habari vinatangaza kiongozi X amewaongoza mashabiki wakati kila mtu ameenda kwa interest zake mwenyewe !! Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  15. Brightfame

    JamiiForums Tanzania Mnaoamini kuwa uchawi upo mnatumia vigezo gani?

    Siku wakikutembelea ukaanza kukkojoa dagaa wanatoka kwa rivers huku wakikwaruza urinary tract ndiyo utajua wapo. Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom