Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,788
- 159,090
Kuna watu wanaamini kwamba Vatican kupitia Papa ndio mtawala na kiongozi mkuu wa ulimwengu huu.
Wameenda mbali na kusema kwamba Papa ndio Mpinga Kristo aliyetabiriwa na kupewa secret code 666.
Waamini hao wanaamini Papa anatawala ulimwengu kwa Siri lakini siku chache zijazo atajidhihirisha na atatawala dunia kwa fimbo ya chuma.
Wengine wanaamini kwamba dunia inatawaliwa na Israel Wayahudi. Wao ndio wameushikilia uchumi wa dunia hii na wao ndio mababa WA sayansi na teKnolojia zote chini ya jua.
Wapo wanaosema kwamba USA Ndiyo mtawala wa dunia hii.
Ndugu Mwana JamiiForums wewe unasemaje kuhusiana na hili?