Recent content by Brigedia Chan-ocha

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Jamani mwenye muongozo wa maswali ya mzee matata kipepeo jungu autupie hapa, maana tunasomewa na kujaza dodoso kwa haraka
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Huku mwanza tumepewa leo Vishkwambi, msosi toka jana tunapiga tu sema jana tulilalamika kuwa ni mdogo leo wakaongeza share, na posho tumeambiwa ni elfu 40 kwa siku 19, hizi ni kwa semina tu, bado siku za kazi hatujaambiwa ni sh. ngapi tutapewa
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ameniacha njiapanda

    Moyo wako unasemaje? fanya ambacho moyo wako unakutuma tu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Weka vitu kaka, ila kama hujanunua simu muombe huyo rafiki yako simu umpigie yule Sity ni muhimu sana
  5. B

    JamiiForums Tanzania Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Kaka usichelewe saaana kuweka update...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Dah, nimeamiani kuna binadamu wenzetu wanapitia magumu aise, pamoja na kwamba kila mtu anapitia magumu ila ya huyu jamaa yetu ni magumu zaidi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    oya endelea na story acha kuzira, huo ndo ukubwa
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nataka kuachana na Mwanamke ninayeishi naye

    Kaka chukua maamuzi mapema achana na jamii itakuchukuliaje, utakuja kufa bure nina mfano halisi nyumbani kwetu, kuna mtu nilimshauri aachane na mke wake kutokana na mambo aliyokuwa anamfanyia, akasema jamii itanionaje kwa sababu huyo alikuwa ni mke wake wa 3 lakini tulimzika baada ya huyu...
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu tangu apate kazi ametingwa sana, hana muda na mimi

    huyo si wako tena, andaa moyo wako kupokea jambo zito muda wowote
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siwashauri muoe wanawake wasomi, jana nimelazwa na njaa na mke wangu, hawajui kubembeleza

    We usizile kabisa, jifanye fala fulani hivi, ila kwenye mbunye mchakate binua, inamisha, laza nk...tuone hiyo Masters yake kama ita-apply, vile vile lizalishe faster faster
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

    Ndo uache kiherehere sasa, mtu huwezi kuvumilia, unaingia uvunguni kufanya nn?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Robert Kidando, Wakili Msomi wa Serikali ambaye hupewa kazi ya kusimamia kesi nzito nzito na hajawahi kushindwa, na hii kesi ya Mbowe lazima ashinde

    Ukijiuliza JIWE sasa hivi yupo wapi baada ya jaribio lake la kumuua Tundu Lissu kushindikana basi huna wasiwasi na chochote kinachojiri, Uzuri sote pua zetu zinaangalia chini, ni hayo tu kwa sasa ndugu zangu, au nakosea?
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke ashirikiana na michepuko 4 ya mumewe kumuandalia "surprise" mume, adondoka na kuzimia siku ya Valentine

    Duh! afadhari na hii nimeijua nikiwa bado hai duniani
  14. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

    Siyo kila jambo ambalo Bagonza anawaza au anaandika ni la kukubali-kukubali tu! hapo ni Rais ambaye ni mkuu wa nchi na serikali, na hilo ni tukio kubwa, kwa vyovyote vile ilikuwa ni lazima tujue nini kilichozungumzwa na hawa watu wawili, na Lissu ametoa tu kwa ufupi yale yaliyozungumzwa, na...
Back
Top Bottom