Recent content by Brian Spilner

  1. Brian Spilner

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Nimefurahi kuona comment yako hapa.
  2. Brian Spilner

    JamiiForums Tanzania Serikali inajilaumu sana kumkamata Lissu kabla ya 29 October 2025.=

    Kuna namna wanatamani wangemuacha ili wamuangushie jumba bovu.
  3. Brian Spilner

    JamiiForums Tanzania Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

    Sijui huwa wanapataje nafasi WAPUMBAVU wa hivi. Yani mtu unamsikiliza unaona aibu.
  4. Brian Spilner

    JamiiForums Tanzania Raha ya mwanamke mwembaba kwenye mapenzi

    Najizuia kucomment ila mada inaniita sana
  5. Brian Spilner

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Nimekuta vinotification hapa nikajua picha teletele. Umeanza lini kua na maneno matupu bila picha
  6. Brian Spilner

    JamiiForums Tanzania Kusema Majaji ni maCCM ndiyo kauli mbaya kuliko zote kwenye kesi ya Mh. Lissu

    Hivi hakuna namna yoyote mnaweza kushitaki chama chenye laana? mnaweza kujipatia kitu hapo
  7. Brian Spilner

    JamiiForums Tanzania Kusema Majaji ni maCCM ndiyo kauli mbaya kuliko zote kwenye kesi ya Mh. Lissu

    Nadhani uropokaji nao unaweza ukaufungulia kesi separate
  8. Brian Spilner

    JamiiForums Tanzania Kusema Majaji ni maCCM ndiyo kauli mbaya kuliko zote kwenye kesi ya Mh. Lissu

    Sawaa Mkimaliza kesi hii fungueni nyingine ya kusema majaji ni maccm, tuanze upya.
  9. Brian Spilner

    JamiiForums Tanzania Nadhani huu ukumbatiaji wa wicknell kwa rais wa nchi haujakaa kiprotical , amemkumbatia vibaya na sidhani dini kama inaruhusu.

    Picha za kumbato kama hili kwa Rais, na mhusika huyuhuyu ndo zilipekea JF kufungiwa kwa sababu kandamizi. Sijui saizi watafungia tena🤔
  10. Brian Spilner

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Nikuite au unakuja mwenyewe?
  11. Brian Spilner

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru Atoa Agizo Kesi ya Lissu Ikamilike Ndani ya Siku 14

    Kesi imefika mwisho naturally, ndo wanatangaza kutaka iishe. Kwanini hawakutoa kauli hizi wakati jamhuri wanaomba maahirisho kadili watakavyo? Kesi imefika mwishoni ndo wanatoa matamko Upande wa mashtaka walijiamulia watakavyo kuipeleka hii kesi, walidharau maelekezo ya mahakama kadili watakavyo
  12. Brian Spilner

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Nitakukumbusha jioni
  13. Brian Spilner

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Nakusubiri hapa Naked kwa naked
  14. Brian Spilner

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Ili utuchanganye sio
  15. Brian Spilner

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    Wasilete taharuki
Back
Top Bottom