Recent content by BRGAUDENCE

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike tatizo la vijana kukwiba wanapoaminiwa kwenye biashara?

    Kuiba au udanganyifu katika majukumu mtu anapewa katika ajira imekuwa ni tatizo sugu. **** mambo yanayochangia kwa tabia hii, nayo yanaweza kusababishwa na malezi mabovu, tamaa, ujira mdogo. Ni vizuri kuwa makini wakati wa kuajiri, kwa kuangalia nidhamu ya mtu anayetakiwa kuajiriwa na kumlipa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Somo zuri sana la elimu ya fedha na matumizi.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ni bora upange karibu na ofisi kwa kodi kubwa au upange mbali kwa gharama kubwa na usafiri wa taabu

    1. Fanya hesabu za gharama za kupanga jirani+nauli+muda 2. Fanya hesabu za gharama za kupanga mbali+nauli+muda 3. Angalia pia mambo ya kijamii kama ni sehemu ya maamuzi ya kupanga mbali au jirani. 4. Chukua maamuzi sahihi uishi kwa furaha.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi rahisi kuiendesha hata ukiwa mbali?

    Ushauri: 1. Ajenge nyumba ya lupangisha au lodge. Au 2. Aweke kwenye bank "fixed deposit"
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mchango wa harusi sio deni. Usipange bajeti zako kwenye mifuko ya wenzako

    Shida kubwa ni maisha ya kuiga: Fulani kafanya hivi na mimi lazima nifanye kama yeye. Shida nyingine: Nilimchangia na yeye lazima anichangie hii inatengeneza ushindani usiyo na tija katika maisha. Kwa ujumla michango ya harusi inaharibu mahusiano katika JAMII na ndoa changa kwani baada ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mzazi/Mlezi unamlindaje mwanao Mtandaoni?

    Elimu hii ni muhimu sana kwa ajili ya ustawi wa familia na JAMII nzima
  7. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ushiriki wa wananchi katika maandalizi ya bajeti ya nchi: Njia bora kwa maendeleo endelevu

    Wazo nzuri sana kwani maendeleo ya kweli hupatikana katika mazingira ya uwazi na ukweli.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kama kweli elimu ni ufunguo wa maisha ni kwanini vijana wengi wanashindwa kutumia elimu kujiajiri kama wanavyo shurutishwa kujiajiri?

    Shida kubwa imekuwa kwenye mtazamo wa elimu. Lengo la elimu ni kukuza maarifa, ujuzi na maadili kwa lengo la kujenga mtazamo ulio chanya katika maisha ya mwanadamu. Kwa muda mrefu elimu imekuwa imeegemea sana kwenye kujenga maarifa na kuangalia ufaulu wa masomo ya darasani na kuacha elimu ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wanaonzisha biashara pasipo kuwa na taarifa kamili kuhusu biashara husika ndio maana wanafeli

    Nakubaliana na mtoa maada. Biashara inahitaji ubunifu Ili biashara iweze kudumu na kuleta manufaa na uvumilivu katika kukabiliana na changamoto za kupata na kuto pata katika mzunguko wa biashara.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Watoto waliozaliwa katika familia maskini wanapata taabu sana. Mzazi maskini hasira zake anamalizia kwa watoto

    Hali ya umasikini hutengeneza msongo wa mawazo. Msongo wa mawazo hujionyesha katika matendo mbalimbali yanayofanana na hayo. Elimu ya maisha na elimu ya fedha ni muhimu kupunguza changamoto hizi.
  11. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Developing the culture of financial saving in families in Tanzania

    Monetary savings by individuals is a crucial issue since it calls for every individual to develop personal discipline in creating savings on the earnings one gets through salaries, businesses, farming and so forth. Developing personal discipline on savings requires a consistent and focused...
Back
Top Bottom