Recent content by Brevis

  1. B

    Ona sasa papara zako zinakufanya uwahishe wazungu

    Habarini waungwana Leo napenda japo kwa ufupi niwashangae wanaume wenzangu ambao wanakuwa na pupa kunako 6x6 na kusababisha mateso kwa dada zetu hivi kwanini mwanaume mzima unakuwa na haraka ya kutaka kuduu kama vile unaugwadu wa miaka. Unakuwa na pupa baada ya sekunde kadhaa au dakika tayari...
  2. B

    Yeyote anayeelewa anisaidie katika hili

    Shtuka utabiwa wewe usipende vya bure bure
  3. B

    Ni mazingira gani unaweza kumpata mchumba?

    Hakuna utaratinu maalumu uliopo wa kupata mchumba, wala mtu huwezi kusema labda leo nasafiri naenda mkoa fulan kutafuta mchumba hi kitu hutokea automatically na nakuambia hutaamini siku utakapo kutana na huyo mchumba unae mtaka!! cha msingi ni kumuomba mungu akusidie! Angalizo usije uwaka kimya...
  4. B

    Hakika Nimefika

    mi mkaka hapo vi kwan mtu wako wa maisha si unamuona tu jamani
  5. B

    Hakika Nimefika

    Haaah am Male
  6. B

    Hakika Nimefika

    Habar wana JF. Mimi ni mgeni hapa i mean ndo najoin Jaman mapenzi ya kweli yapo baada ya kuteseka kwa muda mrefu nimepata pumziko la moyo wangu nampenda sana mpenzi wangu na naamini yeye ndio wangu wa Kufa na Kuzikana.
Back
Top Bottom