Hahaaa poleni sanaaaa . Wote mnajulikana. Mmehonga ml 5 gazeti la nipashe kuandika usenge ili kijificha ila hamuwezi kukimbia mkono wa mungu. Kaburu ailipewa pesa na sharifu siku erasto anapigwa risasi yy yuko airpot kupeleka pesa magazeti ni . Nani asiyejua? Acheni kumzihaki mungu eti asalam...
Halafu nani aliyetoa maelezo ya kiasi alichokua nacho? Kuna kamanda yeyote wa police aliyetaja kua familia imetoa maelezo kua marehem alikua na sh ngapi? 0
Duh kumbe ndio maana majambazi wanaua watu matajiri wanakaa vikao vya kuchanga pesa ili waachiwe maana wanajua siri zao zitafichuka. Sasa hii mitandao itaisha kweli au ndio kila siku watu kuuliwa kikatili.
Kweli wewe ni -------- wa mwisho. Kama ccm ni mama basi ni mama anayetoa mimba anakaribia kung'ooka kizazi. Usirudie kuandika mada za kipumbavu humu. Halafu usimtaje mungu kwenye upuuzi wako
Mapunda nakuunga mkono. Jeshi la polisi ni uozo. Mtu anaua kesho unapishana naye barabarani na anapanga tena mauaji mengine inabaki story tu ya idadi ya mauaji aliyo fanya. Hakuna hukumu hadi badae anakua polisi jamii . Kwanza ningetangaza hukumu ya kifo kwa mtu akiua na hukumu ya kifo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.