Ungefanya nini ukiwa Rais wa Tanzania kwa mwezi mmoja?

Ningewafanya wake halali wa ndoa vimada wote wanaomzunguka kwa siri ili ijulikane na mimi ni kama Mfalme wa Swartzland
 
Ningekuwa mimi ningeenda USA kuhuzulia msiba wa mwigizaji Michael Duncan pamoja na kupiga picha na wasanii wakubwa watakaohuzulia msiba huo.

Hivi ww kwenye mjadala kama huu wa kuelimisha kweli ww unachukua nafasi kuandika upumbavu au laana inakutafuna au ushetani wako,hali ya nchi inatisha wewe unakuja kuandika ujinga hapa
 
Hivi ww kwenye mjadala kama huu wa kuelimisha kweli ww unachukua nafasi kuandika upumbavu au laana inakutafuna au ushetani wako,hali ya nchi inatisha wewe unakuja kuandika ujinga hapa
Wewe mwehu kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. hayo ni maoni yangu hata kama hayakufurahishi lakini ni maoni yangu sio ya kwako mpuuzi wewe.
 
Ningeliweka suala la reform kama priority katika justice department na jeshi la polisi. Ningelichagua upya wakuu wa polisi mikoa na wilaya pia ningefatiza na introduction ya superintendent wa polisi kwa mikoa ambae ni wa kuchaguliwa na wananchi akiwa na sifa zakuongoza jeshi hilo kisayansi na kimaadili na kumpa uwezo wa kusupervise budget za vikosi mkoani kwake na kuweka balance kati ya polisi operations na wellbeing ya raia na haki zao.

Ningelireform upya jeshi la polisi from scratch na kuweka guideline ya operation zilizo na standard ya kimataifa, nigeliweka sheria ya jeshi la polisi kuwa accountable kwa kuweza kushitakiwa kirahisi na wananchi pamoja na amnesty kwa kila mtoa rushwa ikiwa atatoa evidence kwa kiongozi yyt katika jeshi la polisi alieomba au kupatiwa rushwa.

Nigelilifanyia reform justice department kwa kuanzia uchaguzi wa majaji, mawakili na prosecutors wa serikali pamoja na attorney general. Ningelitumia US style selection processs inayohitaji endorsement kutoka kamati za bunge kupitisha selection za majaji kuanzia wa wilaya, mikoa mpaka wale senior wa mahakama kuu na za rufani.

Ningelilifanyia marekebisho makubwa kiutendaji Bunge kwa kuweka criteria maalum ya kwa kila chama kuwa na at least ya 60% ya wagombea wa ubunge kuwa na atleast degree moja ya chuo kinachotambulika. Ningeliweka utaratibu wa spika wa ubunge kutokuwa miongoni mwa wajumbe wa vyama vya siasa na badala yake kupendekezwa aombe kazi hiyo na kuchaguliwa na kamati maalum inayowakilishwa na wabunge wa vyama vyote. Ningeliweka utaratibu wa private candidates na uhakikisha waziri si mbunge wa kuchaguliwa na wananchi, ningelierekebisha TUME ya Uchaguzi ikawa na uwiano kwa wajumbe kutoka vyama vyote vyenye uwawakilishi at least wa udiwani na kuhakikisha uchaguzi unafuata transparency huku nikiweka maombi ya misaada zaidi katika new technology za upigaji kura ulio huru zaidi. Kwa mwezi mmoja hayo yangeliweza kuweka foundation nzuri ya demokrasia ya kweli which in turn kungeleta changamoto ya maendeleo na maisha bora kwa wananchi.
 
Ningetembelea machimbo ya madini yote na kuondoka na sample za kilo kilo kutafuta wateja.
 
Nitamyonga msajili wa vyama vya siasa.......ritz tume ya kitiba, zomba,ecol, na wenzao
Ningemwagiza mara moja msajili wa vyama vya siasa bila kupoteza muda akifutilie mbali cha CDM.
 
Ningefanya kama JK nihakikishe kuwa napiga picha na mastaa maarufu duniani. Pia ningeongeza wabunge wanawake ili nijichotee kama mshikaji. halafu ningehakikisha nawapa wadanganyika ahadi za kwenda mwezini na kula kuku kwa mrija jambo ambalo najua ni uongo. kisha kila siku ulaya.
 
Ningemnyonga padre Wilbrod Peter Slaa, tena pale Mnazimoja na ningefanya siku hiyo iwe ya mapumziko ili watu washuhudie kitendo hiki kwenye TV wakiwa majumbani kwao.

Huyu jamaa anajiita Ecoli nadhani ni usalama wa taifa au polisi, kwa sababu anadai angemnyonga Dr Slaa hadaharani kama walivyofanya kwa Mwangosi, Ccm wanaua watu wasio na hatia, Hata sijui ilikuaje mlimkosa Ulimboka, Mimi ningefunga Fisadi wote wa CCM tukianzia na rais wao
 
ningekusanya mali zote zisizo za halali na kuwafunga wahusika wa mali hizo,kuanzisha mchakato wa katiba,na kuufumua mfumo wote wa sheria na usalama wa nchi.
 
Hivi ww kwenye mjadala kama huu wa kuelimisha kweli ww unachukua nafasi kuandika upumbavu au laana inakutafuna au ushetani wako,hali ya nchi inatisha wewe unakuja kuandika ujinga hapa


NIMEFURAHI KUONA KUWA ANGALAO KUNA GREAT THINKERS KATIKA JF.

Asante kutambua kuwa si kila thread ni uchwara.
 
Mwezi umeisha jamani, inaelekea kazi ya Urais ni ngumu kwani tu wepesi wa kukosoa, kulaumu na kulalamika lakini hatuna opinions wala suggestions za kumsaidia Mh.Rais ili afanye kazi yake vizuri.
 
Futilia mbali chadema

Ningemwajibisha mbowe sababu ile club yake inaruhusu watoto under age kuingia .. watoto wanaharibikiwa sana pale ..mfano mzuri mtoto lulu
 
Mimi ningefuta jeshi la polisi na nchi kuwa xhini ya UWT ambao nao utakuwa reformed,kazi za polisi naajiri makampuni ya ulinzi kwa kila mkoa. Polisi tanzania ni janga.
Ningetangaza rushwa haikubaliki na ukikamtwa ni kunyongwa hadharani.
 
Ningemwita kila alietangaza mgogoro na serikali,
kama kina chadema na kina ponda.
Baraza la maaskofu,
tujue tunaondoaje migogoro iliyopo.
 
Mapunda nakuunga mkono. Jeshi la polisi ni uozo. Mtu anaua kesho unapishana naye barabarani na anapanga tena mauaji mengine inabaki story tu ya idadi ya mauaji aliyo fanya. Hakuna hukumu hadi badae anakua polisi jamii . Kwanza ningetangaza hukumu ya kifo kwa mtu akiua na hukumu ya kifo kwa ruswa. Ruswa inatuletea nchi ya wachache wenye nacho. Polisi wanapigwa makofi na raia coz wamezoea kupokea tu
 
1. Natangaza kuweka haraka kodi ya Tozo za simu sh 33.33 kwa siku na nahakikisha hadi mama ntilie, mpika vitumbua nk wanalipa kodi za serikali
2. Natangaza kujenga barabara mpya jijini Dar Es Salaam kwa kuvunja nyumba nyingi katikati ya mji.
3. Nasitisha ujenzi wa magorofa Kariakoo na City centre.
4.Nahamisha wizara kama zote nazipeleka Dodoma na kwingineko kama Mwanza na Arusha.
5. Naanzisha mchakato wa kufufua bandari ya Dsm kwa kuvunja nyumba zaidi eneo la bandarini Kurasini.
6. Naanzisha mchakato wa kujenga High way kutoka bandarini hadi nje ya mji ili bandari ifanye kazi 24 hrs non stop.
7. Naandaa mpango wa kuwasaidia wakulima wazalendo wakubwa kwa wadogo ili waweze kulisha nchi na kuajiri.
8. Nabadilisha hali ya hospitali ya Muhimbili ifanane na hadhi ya hospitali ya Taifa kwa kuongeza wataalam, vitanda na madawa.
9. Naweka ruzuku kubwa kwa NHC ili iweze kujenga apartments za bei nafuu za kupangisha na kununua kwa wananchi.
10. Navunja squatter zote kama vile Manzese, Temeke nk nawapa NHC wajenge magorofa wananchi wanahamia mule kwa mpango maalum
11. Nafufua Reli haraka sana ili mizigo mingi ipite kwa Reli.
12. Nateua mawaziri ambao sio wabunge.
 
moja ningerekebisha mishahara sio kila tasisi na scale yake ya mishahara
mbili kila mgeni afanyae kazi Tz lazima awe na kibari
tatu mauzo ya madin ni lazima kuratibiwa tz.
Mwisho Nitamchapa kagame maana anatuvurugia biashara congo
 
Back
Top Bottom