Poleni kwa majukumu ya hapa na pale, nimeona tuu shida yangu niiweke hapa.
Anyway, Niko na shida kuhusu mambo ya system ya TRA (E-filling). Currently hapa ofisini kwetu mtu aliyekua anahusika na hayo mambo hayupo na majukumu hayo nimeachiwa mimi coz ni kama tulikua tunaingiliana kwenye baadhi...
Mimi pia niliwah tumia na mafuta yake lakin nilipata rashes balaaa, lakin kuna mtu mwingine alitumia ngozi ikaglow vzur sana , so it depends , Kama ulikua mtu wa kutumia mafuta makali pia haiwez kukufaa
Kila mwanamke ana uzuri wake depending na mtu anayevutiwa nae akimuona, anaweza akawa hana sifa hizo zote lakin still Babe wake akamuona n pisi kali kwake kwa vigezo vyake, and hakuna mwanamke/mwanaume ambae amekamilika kote kote.
Unaweza kuta dada mzur ana shape, rangi, umbo lakini mdomo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.