Recent content by brazuca

  1. brazuca

    Mkandawile, Mbuga, Hidden agenda,Moody physics, mako maku, et al

    Hivi kuna yule Mtiga Na Paul (practical) pale Mwenge Mapambano bado wapo maana kuna madogo walikuwa wanawakubali sana miaka hyo 2011-2015 hadi nkampeleka mtoto wa sister bado wapo kweli?
  2. brazuca

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Naomba kujua 1. Vibwengo ni vitu gani 2. Unatofautisha vipi majini na vibwengo 3. Utendaji kazi wa vibwengo au madhara yake yakoje 4. Je waweza vipi kujizuia na vibwengo 5. Kama unga wa mifupa ya simba ikichanganywa na Dawa zingine waweza zuia vibwengo 6. Maelezo juu ya tofauti kati...
  3. brazuca

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Naomba kujua tofauti / ufafanuzi wa uganga ufuatao 1. Uganga wa kitabu/dini 2. Uganga wa mitishamba 3. Uganga wa majini 4. Uganga wa mizimu 5. Uganga wa falme ( kundi hili hudai wao sio majini wala mizimu wala wachawi, hudai ni falme kutoka kwa Mungu kwenye kundi la manabii) 6. Uganga...
  4. brazuca

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Kwa mfano ikatokea ukamfanyia timing kabla hajatuma kwa mhusika Mfano alikuwa anapeleka mavuno kila baada ya mwezi hivi Anaweza tapishwa na kutoa mali?
  5. brazuca

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Naomba kujua yafuatayo 1. Hivi kuna jini la chuma ulete? 2. Kama lipo yawezekana kumkamata Na kumtapisha Na kurudisha tena kiasi cha pesa alichochukua Na kikawa cha matumizi ya kawaida kwa binadamu? 3. Hivi yawezekana mtu kupambana Na ukoo wa majini mfano yako 100 Vifaa vya gharama gani...
  6. brazuca

    Behind the curtain: September 11

    Me pia mkuu the Bold
  7. brazuca

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Kuna rafiki yangu alienda kwa mganga ili kusafisha nyota , kutoa mikosi Na nuksi akapewa dawa ya kuoga siku 5, Akaambiwa pia siku 1 kati ya hizo 5 achukue noti ya elfu 5/10 Tshs. Aichange iwe 500 za coin Na azigawe kwa watoto mbali mbali baada ya kunuia. Kutokana Na hayo naomba kujua yafuatayo...
  8. brazuca

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Habari mtu mzito Post namba 4188 - 4190 Kama umeziruka hivi Nakukumbusha tuu ukipata muda pitia utujuze
  9. brazuca

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    1. Kwa watu wenye matatizo ya vifungo vya nyota watibabu wengi hupendelea kupasua nazi ikiwa Na maana vifungo vimeachia, je kama nazi isipofunguka ina maaana kazi haijafanikiwa au ? 2. Matumizi ya kamba ya kuokota ( usiemjua kaifunga nani) ni yapi? 3. Tofauti ya nazi mdondo Na zile za kipemba...
  10. brazuca

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    1. Kwanini wataalamu au waalimu huwa wanaongea matatizo ya mgonjwa kwa lugha ngumu au lugha ya jumla bila kuainisha vyote step kwa step bila kuwa anaulizwa ulizwa maswali? 2. Je yawezekana waalimu wakaacha kiti wao arogwe bila wao kuzuia? 3. Je mganga anapokuwa kapigwa vitu au karogwa yuko hoi...
  11. brazuca

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Naomba kujua yafuatayo 1. Mushtala/Mushtara ni kitu gani au maana yake kwenye falaq/ramli au uganga 2. Mtu mwenye mushtala/mushtara anakuwa Na matatizo gani au faida gani kwenye maisha ya kawaida 3. Kama ni tatizo tiba yake ni nini 4. Je ni kweli mushtala ni ngumu kuiona kwa majini wenye...
  12. brazuca

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Kuhusu nyota 1. Ipi njia sahihi ya kujua nyota ya mtu maana kuna njia zipo mitandaoni Na kila ukiifuata moja unapata jibu tofauti Waweza jikuta mtu mmoja una nyota sita 2. Je kuna nyota za kupanda Na kushuka? 3. Je kuna njia ya kuimarisha nyota isiwe inashuka 4. Wanaposema kinga ya mwili...
  13. brazuca

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    1. Kwa hyo Ina maana kuna matatizo mengine bila kuyafungua kwanza hayaonekani kwa Falaq kawaida 2. Je haitatokea ukafanya kafara ya kuyafungua Na kisionekane kitu na bado mtu shida yake ikaendelea 3. Lakini kuna wataalamu wanaweza wasione tatizo lolote kwa falaq za kawaida Je uwezo wao...
  14. brazuca

    Ufahamu uchawi wa Sigil

    Lakini kama hyo link haifunguki hivi Tafadhali
  15. brazuca

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Habari mtu mzito Naomba kujua yafuatayo 1. Pesa za majini ni nini/kitu gani? 2. Baada ya muda gani dawa hyo kufanyika pesa huanza kuonekana kwa wingi? 3. Je kwenye masharti yote ni makafara ya damu? 4. Hakuna zenye masharti nafuu? 5. Hyo kafara ikishatolewa mara moja kuna haja ya kutoa...
Back
Top Bottom