Ndugu nadhani una matatizo ya akili, kwa mtu yeyote anayesoma na atakayesoma mchango wako lazima agundue kwamba wewe ni mgonjwa na unahitaji maombi sana ili upate ahueni ya ubaguzi wako wa makabila. Hakika huna tofauti na mkoloni (kaburu).
Ahsante sana JAMHURI kwa ujasiri huu. Mungu wa mbingu na nchi awalinde:angel: na mpate ujasiri na uzalendo muendelee na moyo huo huo ili tatizo hili lifikie mwisho wake.
Mkuu CCM wanakulewesha kiasi hicho mpaka unataka kuchukua cheo cha MUNGU? Una uhakika gn kwmb Dr.yupo kwny nyakati zake za mwisho na co ww? Uwe unafikiria kabla ya kuongea hzo pumba zako, msisahau kuwa MUNGU ndiye muamuzi wa yote.
Kuna mbunge wa CCM ambaye ametatua changamoto za jimboni mwake unayemfaham aisee? Inavyoonesha ulishawahi kuugua ugonjwa wa akili ndo mana unatoa matusi hovyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.