Yaan simlaumu mtu wala si rais wetu.bali lawama zangu nazipeleka kwa mbunge wng.wabunge wetu ni wanafiki sana kwa wananchi.mwanasiasa sio mtu na hawana Utu kabisa.
Acha kumlinganisha Jombi na vitu vya kijinga alikuwa mtu hatar.ingekuwa enzii hizi angetafutwa kama gaidi wa kimataifa .na baada ya kifo chake mkoa wa mbeya na nchi jilani kukawa shwari mpaka leo haijawahi kutokea tena.
Shida sio mtoto na sidhani kama mwanaume anapenda kumtelekeza mtoto wake.tatizo na chanzo kikubwa ni nyuma ya pazia kati ya mama na baba..wake zetu wa siku hizi waliopitia mambo mengi hawajui kuishi na waume zao.ikumbukwe mtoto huyo hutumika kama kimvuli kumlaumu mume.sasa dawa sio kutumia...
Mi nadhan hoja sio tundu lisu mkuu, hoja ni nn chanzo cha vurugu hizo mpaka akapigwa...kuita mtu mbumbumbuu naona umekosa hoja ya msingi ila unamihemko ya kisiasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.