Recent content by Bravius

  1. Bravius

    Mama mjamzito kupitiliza siku za kujifungua imekaaje hii?

    Daaaaah umenifurahisha sana ndugu kwa maoni yako asante.
  2. Bravius

    Ufundi wa Lwandamina, Pluijm, Niyonzima, kikwazo cha ubingwa Msimbazi

    Uwezo wako wa kufikiria ndo umefika mwisho kwan wakati mnafungwa na Jku niyonzima .Lwanda - AMINA na huyo mfuga kitambi hawakuwepo???
  3. Bravius

    Bei ya Bajaji mpya TVs King

    Ndugu wanajamii nahitaji kufanya biashara ya Bajaji hapa mjini Dar es salaam sasa cjajua Bei yake fixed.
  4. Bravius

    Mama mjamzito kupitiliza siku za kujifungua imekaaje hii?

    OK asante sana ndugu na imani kesho nitafanya hivyo niende kwa daktar .nitaleta marejesho hapa .
  5. Bravius

    Mama mjamzito kupitiliza siku za kujifungua imekaaje hii?

    In short mtoto alishageuka toka mda mrefu na njia kila kitu kiko tayari na mama n mzima tu anafanya shughuli zake ndogo ndogo anazoziweza bila shaka .but wakat mwingne kiuno kina kaza kwa mda mfupi and then kina achia pia kuna wakati mwingne napata hofu zaidi anaharisha kwa vipindi tofauti...
  6. Bravius

    Mama mjamzito kupitiliza siku za kujifungua imekaaje hii?

    Daaah asante sana kwa ushauri wako lakin si lazima awekewe maji ya uchungu kwanza??
  7. Bravius

    Mama mjamzito kupitiliza siku za kujifungua imekaaje hii?

    Cauz kama n vipimo vyote vimekaa vizur tu
  8. Bravius

    Mama mjamzito kupitiliza siku za kujifungua imekaaje hii?

    N kweli ndugu kwa kanisani n muhumini sana nmeenda kwenye maombi ndugu
  9. Bravius

    Mama mjamzito kupitiliza siku za kujifungua imekaaje hii?

    Wanajamii wenzangu poleni na majukumu ya maendeleo Mke wangu ni mjamzito wa wiki 42 n sawa na miezi 10 na wiki 2 lakini hanatatizo la haina lolote kwa kipindi xhochote na nmecheki ultrasound takribani Mara mbili na ya mwisho na Tarehe 10 ya mwezi huu na kuna tatizo lolote kwa mtoto na njia iko...
  10. Bravius

    Naitaji Spacio au Nadia

    Kwan bajaji mpya n shingapi boss
  11. Bravius

    Bashasha ya Kirukuu (Suzuki carrier)

    Tatizo mkuu hizo boda Boda sita utamkabidh nani?? C per day wataleta 5000 tsh mkuu......??
  12. Bravius

    Bashasha ya Kirukuu (Suzuki carrier)

    Daaaah nashukuru sna kwa ushaur wenu kwan nmeona dereva ni swala la msing mno aiseee ushaur wenu n mzur nitaufanyia kazi
  13. Bravius

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Tayar vipi yaaan naomba ripoti kamili aiseee Pls
  14. Bravius

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    M naomba kuuliza kwa wake waliokua wanifanyia usaili kwa wilaya za Dar es salaam wameshapangiwa vikosi vya kwenda. Au kifupi mchakato umeishia wapi??????
Back
Top Bottom