Recent content by brave Mwafrika

  1. brave Mwafrika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VPN gani nitaitumia?

    Habari za jioni, naomba kujua nitumie VPN gani ili niweze kutumia network for free?? Mimi natumia laini ya Halotel pamoja yas
  2. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania vyuo vya afya ngazi ya diploma

    NAOMBENI MSAADA wenu wa kuupata huo mwongozo
  3. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania vyuo vya afya ngazi ya diploma

    Naomba kama kuna mtu yoyote Mwenye mungozo(soft copy )wa vyuo vya afya ngazi ya diploma. Tafadhali naombeni 🙏🙏🙏
  4. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

    Jamani eeeh ndugu zangu, Mwenye ya kiongozi yoyote wa wizara ya afya naomba anitumie namba kwenye account yangu kuna Vijana wanatesema kwenye chuo fulani hivi Cha serikari
  5. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kukata TIKETI ya basi mtandaoni?

    #hahahhah... Huu utani wa ngumi kabisa.. kwa mguu
  6. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kukata TIKETI ya basi mtandaoni?

    #asante ngoja nijaribu tena
  7. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kukata TIKETI ya basi mtandaoni?

    #sijaelewa apa
  8. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kukata TIKETI ya basi mtandaoni?

    #hakuna aliye zaliwa anajua
  9. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kukata TIKETI ya basi mtandaoni?

    #asante sana
  10. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kukata TIKETI ya basi mtandaoni?

    #nimejaribu kuangalia tiketi kwenye ottap lakini sijaona gari yenye bei 70000 au chini ya apo. Nawezaje kupata
  11. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kukata TIKETI ya basi mtandaoni?

    #nataka kusafiri kesho kutwa (j5) kutoka DAR - MWANZA naomba msaada wa kupata TIKETI kwa bei chini ya 70000- basi zuri ambalo sio VIP wala VVIP
  12. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kukata TIKETI ya basi mtandaoni?

    #nimejari kutafuta TIKETI mtandaoni lakini nimeshindwa #nimejari ku download app ya ottap nimeshindwa kuitumia kwa sababu inataka niwe na akaunti na hakuna sehemu inayo niruhusu kufungua akaunti.
  13. brave Mwafrika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba dhidi ya alhy tripoli

    #poa poa
  14. brave Mwafrika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba dhidi ya alhy tripoli

    #hiyo elfu 3000 ndiyo kiingilio au TIKETI zilizopo?
  15. brave Mwafrika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba dhidi ya alhy tripoli

    #wadau naomba kujua gharama za TIKETI mechi ya Simba kesho
Back
Top Bottom