VIWANJA VINAUZWA,mita 20 kwa mita 20 (HATUA ZA MTU MZIMA 25 KWA 25) vipo MAJOHE -DAR-ES-SALAAM vipo barabarani, Viwanja viwili vya mbele bei ni m.15,viwanja vya nyuma m.14 barabara imeachwa kwa viwanja vya nyuma pia umeme haupo mbali mita 40.
WAHI SASA UPATE KIWANJA LEO KWANI MAISHA NI NYUMBA...
HAPA KAZI TU,wale wanao subili kubebwa kipindi chao kimekwisha,haijalishi ulitembea nchi zima na MH kwenye kampeni.WATANZANI tunahitaji watendaji kazi ambao siompaka wasukumwe kufanyakazi za maendeleo kwaTaifa letu.
Wamejichanganya sana hawa vijana,kama kinana na nape walikwenda kusikiliza kelo za wananchi kwanini mawaziri mzingo wapo kazin?acheni kuwadanganya watanzania.
Huku iliko leta post umekosea huku wote wanawake ni wajanja tafuta sehemu nyingene au ukawaeleze pale labour walipo lala kitandani watu watano huku wengine wakigalagala chini uone kama hujatoka nduki.Acha kuwandanganya wanawake wezio wanaoijua tabu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.