Recent content by brand udom

  1. brand udom

    Hongera mzee Paschal Florian Mwarabu kutimiza miaka 70

    In Kumbe JF kumejaa watoto the wa baba paroko hivi aisee? Daah! Safi sana. Nimewapenda sana. Nawapeni babu mwenyewe huyo hapo alikuwa bado nguvu zipo zaid
  2. brand udom

    Hongera mzee Paschal Florian Mwarabu kutimiza miaka 70

    Umefuata nyayo za babu lakini? Au ujana umekuzidi.
  3. brand udom

    African languages: Swahili is the most spoken on the continent with over 100 million speakers

    Ni kweli. Kiarabu ni ya 5 ulimwenguni na ya 1 Africa. Ila ukiongelea lugha za African natives ndio Kiswahili kinashika namba 1. Nadhani unajua kuwa African natives sio waarabu. Waarabu walianza kuingia Africa karne ya 4 nakuendelea.
  4. brand udom

    Tetesi: Madaktari walio Internship Kutolipwa Posho kuanzia Mwaka Huu

    Mmmmh Kazi ipo mwaka huu :cool::cool:
  5. brand udom

    Magufuli angalia hili la Hidodoma na vijiji jirani

    Wagogo ndg zangu hawajielewi jamani. Tuwasamehe bure maana wengine ni kama vichwa vipo tupu tu. Nawachukia sana ndg zangu wale kwa kweli.
  6. brand udom

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Hahhahaaaa Magamba yamejifichaaaaaa. Eti walijidai wananyomi siku Pombe anaenda kuchukua fomu.Sasa ukilinganisha nyomi hii ya Eddo na ile ya Pombe si ni sawa na mnyoo kuufananisha na mamba????
  7. brand udom

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Mimi nadhani sasa UKAWA tumezidisha misifa jamaniiii khaaaaaaaaa. Yaani umati woootee huo mmmmh. Muwaonee huruma wa mtaa wa Lumumba jamani. Wanaweza kufa kwa BP wasiyaone mabadiliko tuliyokuwa tunawadai. Hahahahahahahahahaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kweli ni saa ya ukombozi
  8. brand udom

    Ratiba ya Kumtambulisha Lowassa kwa wananchi

    Ama kweli, kama sio delusions basi itakuwa ni illusions pole mkuu. Naona kama umepanic. Mamvi kakushika pabaya nini. hahahahhaha
  9. brand udom

    UKAWA ndio mikono sahihi sio tu kwa Edward Lowassa, bali hata kwa mwl J.K Nyerere

    Nilisema kuwa mimi nitampa kura yangu Lowasa. Na naendelea kusema hivyo maana kwangu kura yangu sio siri. Wew mwenye siri na kura yako endelea kuifanya siri. Na pia nilisema japo kwa ufupi kwa nini nitampa Lowasa kama Lowasa. Naomba kusema kuwa kutokana na ugeugeu wa vyama na wanachama, kila...
  10. brand udom

    Hatimaye Dr. Slaa aonekana, asema kuzungumza muda ukifika

    Safi saaanaaaaaaaaaaaaaaa................. Mungu mkubwa aiseee, moyo ulikuwa unaniuma sana kumpoteza jembe kama Dr Slaa. Tunakushukuru sana Dr wa Ukweli kwa kusikia kilio cha watz. Mungu azidi kukulinda na kukupa afya njema daima. Tunakupenda sana na hakika tulikumiss sana, Karibu ulingoni Mzee...
  11. brand udom

    Kwa sababu hizi 3 nitamchagua Lowasa

    Ndo Ndo Ndo, ndoo hujaa mkuu. Pia haba na haba hujaza kibaba. Kwa hiyo hao watakaopiga kura kumchagua mbunge wa UKAWA hujui pia ndio watakaompigia rais wa UKAWA pia,?
  12. brand udom

    Kwa sababu hizi 3 nitamchagua Lowasa

    Ndo Ndo Ndo ndoo
  13. brand udom

    Kwa sababu hizi 3 nitamchagua Lowasa

    Kuna shida ya maji kwa kuwa ule mradi wa maji ya ziwa viktoria haijafika Shinyanga au kwa kuwa serikali imeshindwa kuendeleza na kusimamia usambazaji wake kama alivyokusudia Lowasa na serikali ya kipindi kile?
  14. brand udom

    Kwa sababu hizi 3 nitamchagua Lowasa

    Inawezekana mkuu siwezi kukubishia. Lakini nadhani labda wew umetoka Peripheral kuliko nilipotokea mimi brand udom huko vijiji vya Lumuma Kilosa ambako wananchi wenzangu wanahamu kubwa sana ya madiliko na chadema imeshika kasi sana tu. Nikiwa njiani kuelekea mjini Kilosa au Mikumi nakutana na...
Back
Top Bottom