Recent content by Brand Identity

  1. Brand Identity

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi ataka wataalamu wa mipango miji waweze pia kupima ardhi, bila hivyo watakufa njaa

    *MHE LUKUVI: "Nataka Mtaalamu wa Mipango miji aweze pia kufanya upimaji wa Ardhi, na mtaalamu wa upimaji pia aweze kupanga Miji"* Kutoka Morogoro: Tarehe 14.01.2019 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi, ameyasema hayo Leo alipotembelea kwa kushtukiza Chuo Cha Ardhi...
  2. Brand Identity

    JamiiForums Tanzania European Parliament resolution on Tanzania

    Ha ha haaa Chahali, nadhani kijana amefanya vizuri kwa uwezo wake. Wewe Sasa nyooosha ili white house wakuelewe zaidi hasa ukizingatia wewe Ni mwandishi wa siku nyingi, huu Ni uwanja wako. Kwa sisi tuliowengi tumeelewa. Lugha hata ikitumika ya ishara Ni sawa ili mradi ujumbe na Nia njema imefika.
  3. Brand Identity

    JamiiForums Tanzania European Parliament resolution on Tanzania

    The European Parliament Resolution on Tanzania (2018/2969(RSP)) is all about LGBTI people In case you don't get it LGBTI stands for LESBIAN, GAY, BISEXUAL, TRANSGENDER & INTERSEX PEOPLE Yaani kwa kiswahili Ni Maazimio ya Umoja wa Ulaya kwa Tanzania kuhusu WASAGAJI, MASHOGA, NGONO ZA JINSI...
  4. Brand Identity

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ndege ya Airbus, Mali ya Tanzania yapaa. Kufika nchini muda wowote.

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Brand Identity

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku kuimba wimbo wa Taifa bila kibali maalumu cha Wizara ya Mambo ya Ndani

    Hiyo Ni Taarifa ya kweli lakini haitawahusu shule za Msingi. Shule za Msingi zitaendelea na matumizi ya wimbo wa Taifa Kama sehemu ya kuwafundishia watoto wetu. Asante.
  6. Brand Identity

    JamiiForums Tanzania Asanteni wakazi wa Gairo kwa kunitia nguvu

    Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe DC Siriel Mchembe ameendelea kutiwa nguvu na wakazi wa Gairo kwa kuitikia wito na kujitokeza kwenye huduma mbali mbali za kijamii wilayani humo. Zaidi ya watu 400 walijitokeza katika uchimbaji wa msingi wa jengo la Dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Gairo. Zaidi ya...
Back
Top Bottom