Alijisemea mzee wetu Mwandambo yaan Taifa halieleweki linakwenda wapi tupo kama vichekesho tu. Hivi hili taifa linawasomi kweli wanaofikiri na kuwaza kimantiki? Mbona kama darasa la saba na hao wanaojiita wasomi ni kitu kimoja tu
Jamani nauliza tu naomba nijibiwe vyuo vya kati kwa wanafunzi wanaosoma Diploma pharmacy wameanza kusoma? Nimefanya maombi tangu August lakini sifahamu majibu yalitoka au laaah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.