Recent content by Brainwise

  1. B

    Hali mbaya ya uchumi yazidi kutanda Tanzania

    Kama sijakuelewa vile. Ila wacha niendelee kutafakari.
  2. B

    Post ya CIA imenifikirisha: Wamelisifia Ziwa Malawi (Ziwa Nyasa) pasipo kuitaja Tanzania!

    Imeisha hiyo. Na sasa ndipo naanza kuelewa kuwa zile chokochoko za Malawi kuhusu ziwa hilo zilikuwa na nguvu ya hawa wahuni.
  3. B

    Dondoo yaliyojiri wakati wa Mkutano wa hadhara wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Ama hajui anakisema, ama amekaririshwa halafu kasahau baadhi ya maneno au anawaogopa anaowahutubia kwa kuwa anajua wanajua wanadanganywa. Hapa waziri mkuu hatuna.
  4. B

    Dark days 17/03/20

    Yoga, (sijui ni dada au kaka), huenda ukawa umebeba nuru ya watanzania wenye maumivu juu ya mwelekeo wa nchi. Unaposita kusema, unafifisha nuru hiyo na kuwaacha watanzania wazame gizani zaidi ya ilivyo sasa. Fanya kitu, sema, huenda tutajua cha kufanya.
  5. B

    PICHA: Chumba ambapo Polepole alikuwa akirekodia, akionekana na Ile Black Screen nyuma

    Kama Ossama alikamatwa, unadhani Polepole alikuwa na nguvu kiasi gani cha kujificha asikamatwe? Polepole alijua siku zake zinahesabika ndo maana hata hakukimbia nchi. Najua atauawa, lakini Mungu atamlipia uovu huu. Amina.
  6. B

    Matendo yanofanywa na jeshi la polisi wa raia yaonyesha mapungufu makubwa yaliyopo kwenye Chuo cha polisi Moshi

    Tatizo ni mtaala wanaotumia. Ni ulevulioachwa na mwingereza. Na ulikuwa maalum kwa ajili ya nchi za Afrika.
  7. B

    Tetesi: Mange: Serikali yatoa maagizo ya kuwatambua Viongozi wa Dini wasiomuunga mkono Rais Samia

    Mange Kimambi anawakimbiza hadi wanapata kiwewe.🤣🤣🤣
  8. B

    Serikali yasaini mkataba Mgodi mkubwa wa Dhahabu wa Nyanzaga.Tanzania Kupata asilimia 20% vs 80% za Mwekezaji

    Shida hata hizo 20% atakuwa anachukua kikwete halafu anatugawia chenji.
  9. B

    Wazazi msio na connection mnaosomesha watoto kwa matumaini makubwa waje kuajiriwa, mmejipangaje kisaikolojia na jinsi ajira zilivyo ngumu ?

    Wanangu wawili wa mwisho wanaosoma, wa advance anasoma PCM ili nimpeleke ufundi. Akimaliza ajiajiri. Wa kidato cha tatu tayari anajifunza umeme wa magari kitaa wakati wa likizo. Lengo aje awe fundi pia. Nina uhakika wataishi tu.
  10. B

    Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

    Nilisahau, kumbe nachati na taahira kongwe.
Back
Top Bottom