Recent content by Brainwave

  1. Brainwave

    GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Una mtindio wa Ubongo sio bure. Karne hii huwez kumdanganya hata mtoto mdogo kwa maneno kama haya.
  2. Brainwave

    GE2020 JPM kwenye mabango, Tundu Lissu kwenye mioyo ya watu

    CCM inapaswa kujitafakari zaidi. Wanatumia mda mwingi kuuza sera za Chadema kwa vijembe visivokuwa na msingi huku wakisahau kunadi ilani yao Kosa jingine kubwa walilolifanya ni kuamini kwa 100% kuwa kufikia mwaka huu upinzani ungekufa kwa sababu hawakupata platform ya kuzungumza kwa miaka...
  3. Brainwave

    Zali la mentali

    Daaah! Nitakuwa makini mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Brainwave

    Zali la mentali

    [emoji3][emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Brainwave

    Zali la mentali

    Kwa huyu dada nipo tyr kubeba hayo majukumu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Brainwave

    Zali la mentali

    Kwan mke wa mtu hawezi akawa demu?, Even though bado sijaconfirm kama ni mke wake Mkuu na kwa wakati huu sioni km kuna haja ya kutaka kuprove hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Brainwave

    Zali la mentali

    Salaam wanajamvi, Baada ya kuwa mpenzi mtazamaji kwa muda mrefu hapa jukwaani, basi hii scenario imenifanya nivunje ukimya. Nimekuwa nikitamani sana kuchangia lakini nadhani kuandika siyo kipaji changu. Jana tarehe 11-01-2020 ambayo ilikuwa ni siku ya Jumamosi nilitoka na kwenda ku-refresh...
  8. Brainwave

    Wanaume wa JF mna shida gani?

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  9. Brainwave

    Wanaume wa JF mna shida gani?

    Mkuu nakupongeza kwa uwezo mkubwa wa kuandika makala ndefu. Lakini nasikitika tu kusema andiko lako limekaa kihisia zaidi na sio uhalisia. Probably you are just relieving your stress. Let me not judge this deeply until u come up with crucial facts.
  10. Brainwave

    Slaa anaamini katika nini? Kipenzi mbeba maono, msaliti wa umma au maslahi binafsi?

    Binafsi huyu Dr. Nashindwa kuelewa msimamo wake ni Upi na ana amini nini kwenye siasa za nchi hii, Kile ambacho alikiita Usaliti kwa kina mbowe kumuunga mkono lowassa ndo kilekile anachokofanya yeye saivi. Mfumo ambao yeye amekuwa akiukosoa kwa takribani miaka 10 saiv hatak ukoselewa ati kwa...
  11. Brainwave

    Tundu Antipas Lissu siyo " presidential material" anafaa kuwa Spika wa bunge au Mwanasheria mkuu wa Serikali

    Hoja yako pekee kwa nini Lissu Sio presidential material ni kutokuwa na subira, Hii maana ake ni kwamba kwenye nyanja zingne zote za kiuongozi na kiutendaji umeona hana shida. Naweza kukubaliana na wewe Endapo utamcompare Lissu na watu wengine But not the current president (Magufuli). Kama Jiwe...
Back
Top Bottom