Recent content by BrainOs

  1. BrainOs

    JamiiForums Tanzania Gari ya Town Ace pickup 4W ipoje? Nataka kuijua kabla sijafanya maamuzi ya kuinunua?

    Basi tafuta Toyota hilux 5l single cabin 4WD au Nissan hardbody single cabin Qd32 4WD
  2. BrainOs

    JamiiForums Tanzania Gari ya Town Ace pickup 4W ipoje? Nataka kuijua kabla sijafanya maamuzi ya kuinunua?

    Chukua ya petroli engine 7k mara nyingi hazina 4WD.. Ni gari bomba hazina shida,, ila kama unakaa maporini itakusumbua kwenye Utelezi
  3. BrainOs

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa Nikiota Ndoto Kujusu Nyoka Mara kwa Mara, Naomba Tafsiri na Ushauri

    Mara nyingi mimi huwa naota nikiwa nawauwa.. Hii ina maana gani
  4. BrainOs

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wenzangu hii hali huwa mnaichukuliaje?

    Mimi kuna mmoja nilimkaza round one vizuri,, baada ya hapo akaenda kupuuuh,, alivyo rudi ana maji maji kwenye makalio eti ananikali,, nikagoma akachukia na mechi ikaishia hapo hapo
  5. BrainOs

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua Land Rover Discovery

    Wanavhukulia Toyota poa,, hawajui bei za spea za GD6,, 1KD,,1VD mlima mrefu
  6. BrainOs

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mpunga

    Hiyo mwezi wa 10 gunia la mpunga linaweza kufika bei gani
  7. BrainOs

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mpunga

    Mkuu kwa uzoefu wako kama sasahivi gunia ni 90k..ni lini utakuja kupanda na Unaweza kufika bei gani kwa gunia
  8. BrainOs

    JamiiForums Tanzania Sharp aquos sense 8

    Natumia TTCL na mara nyingi na switch 3g na Tigo mara chache
  9. BrainOs

    JamiiForums Tanzania Sharp aquos sense 8

    Ni 320k kaka.. Vipi isue ya network kama watu wanavyodai kuwa inawez kugoma kusoma line kabisa
  10. BrainOs

    JamiiForums Tanzania Sharp aquos sense 8

    Mimi niko arusha.. Naona kuna watu wanatumia aquos zero 6 na inashika vizuri tuu
  11. BrainOs

    JamiiForums Tanzania Sharp aquos sense 8

    😂😂Mkuu size hiyo simu ndio size nipendazo,, simu ya umbo kubwa mimi sipatani nayo
  12. BrainOs

    JamiiForums Tanzania Sharp aquos sense 8

    Mkuu hii simu haina tatz kama watu wanavyodai Mitandaoni isue za network nk
  13. BrainOs

    JamiiForums Tanzania Sharp aquos sense 8

    Wakuu vipi kwema,, simu tajwa hapo juu nimeona nikaipenda sana,, ina umbo dogo sio Nzito,, naombeni mnipe mazuri yake na mabaya yake
  14. BrainOs

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    😂😂
  15. BrainOs

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Mimi ni website kufa na kuzikana.. App sizielewagi sijui ni mimi mwenyewe tuu.. Kikubwa niko ndani ya JF
Back
Top Bottom