Recent content by Brainiac

  1. B

    Wazo la leo: Kijiweni kwetu

    hahahaha
  2. B

    Nani anajua Kuhusu chuo cha IMTU

    umechaguliwa degree?
  3. B

    Transfer ya chuo

    Badluck kwa mwaka huu...transfer ya hivi hairuhusiwi, walisema itakuwa online tu.
  4. B

    You have not Secured Loan (HELSB 2015/16)

    Sio wote tulioandikiwa hivyo....kuna mtu nakaa naye hapa kapata mkopo na hayupo M.D
  5. B

    sua loan allocation first year 2015/2016

    Batch za awali ni kwa continuing students i guess.
  6. B

    sua loan allocation first year 2015/2016

    Umeona wapi kuwa ni batch ya 6
  7. B

    Wakuu,heslb imeachia mikopo,kupitia "olas"

    Heslb imeachia...but sasa hivi haifunguki, sababu server yao imezidiwa. So kuweni na subira, na muwe mnajaribu kufungua fungua.
  8. B

    Tuliochaguliwa IMTU tujuane tafadhali

    Prospectus ya chuo tutapataje?
  9. B

    Magufuli aliahidi kitu gani katika elimu yetu?

    Doing the same thing over and over again....and expecting different results, Tanzanians we are not serious.
  10. B

    Dr Magufuli Baada ya kuapishwa naomba uanze HESLB

    Uongo usiofichika...hili neno "Budget exhausted" litawahusu watu wengi sana mwaka huu.
  11. B

    Transfer jamani..

    Transfer za barua mwaka huu haziruhusiwi kabisa. So ni kusubiria transfer window ifunguliwe online ili uombe, na as far as i know, mpaka transfer kufunguliwa..watu watakuwa wamesharipoti katika vyuo vyao husika.
  12. B

    TCU fifth round opened

    Deadline ya hawa fifth round sijui itakuwa ni lini....na vyuo vinakaribia kufunguliwa.
Back
Top Bottom