Nakupa Onyo kabisa usijaribu kukanyaga CCM na sikia wewe na wapuuzi wenzio mnampango wa kuomba huruma kutoka kwa makada Mafisadi wa CCM ole wenu muendelee kujipendekeza huku CCM. hATUTAKI wapuuzi kama wewe ambao ni mzigo kwa ukuwajiwa democracia nchini na wachumia tumbo. Kuna kundi kubwa la wana...
Msomi wapi huyu mpuuzi mwambie akupupe CV yake hapa utumbo mtupu cjui hata chadema walilogwa na nani kumpa uanachama huyu mtu hastahili kuwa mwanasiasa
,
eliesikia,
kizazi kipya,
Sir Major,
Mbiu,
S.HUSSEIN,
Maganga Mkweli,
Omuregi Wasu,
bibi.com,
bogota the king,
OC,
Mwigulu Nchemba- Hatuyahitaji haya masalia kwenye chama chetu CCM@ I hope umetusoma bcoz nimeona baazi ya wana CCM mafisadi hapa wakiwasapot hawa wapuuzi kiongozi yeyote wa ccm...
Kwenye Chama chetu kuna matatizi makubwa yanayowaathiri Watanzania, Kama ufisadi, Uharamia, Ujangili wa raslimali za taifa kama Twiga na Tembo na yaamkini yanafanywa na Viongozi wa juu wa Chama na Serikali hebu basi wana CCM tujikite huku kusafisha chama chetu na sio kuwa washabiki wa mambo ya...
Watu wenye akili kama yako na mtoa mada hamstahili kuwa CCM kabisa hata fedha mlizobahatishwa kuhongwa shukuruni ur not deserved mmepotea cjui mtakimbilia wapi CHaumma,ADC au NCCR bcoz CCM no Chance mmeumbuka
Hakuna nguvu ya CCM ni ulimbukeni wachadema wa kutaka mali na maisha mazuri hawa ni makahaba wa kisiasa wanaotaka kupata audience kwa CCM na Chadema@ Ni walevi na makahaba wapuuzeni
Vijana wa CCM hatutaki kuwaona kabisa hawa makahaba wakisiasa hawana nafac kabisa CCM hata ya Balozi wa Nyumba kumi ama ukuu wa Kaya. Kama Viongozi mafisadi watawapokea ama kuwaunga mkono hawa utakuwa ni upuuzi mwingine kwa CCM yangu hawa ni type ya le mutuz hawastahili kabisa kuwa CCM ya Nyerere
Mimi ni Mwana CCM makini mtoto wa mnyonge na Mkulima hakika CCM ikiwapokea hawa Masalia wakiongozwa na Juliana Shonza na Hama Chama ni mpuuzi zaidi ya Mafaisadi tulionao chamani shame on her na wale wote wanaomuunga mkono kutoka ndani ya Chadema au CCM. She is foolish
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.