Recent content by BRAIN BOX

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kumuoa huyu binti

    Mimi ni kijana wa miaka 30, nilikutana na Binti Mmoja tukiwa chuo, miaka ya nyuma kidogo.. nikawa na namba yake, lakini nilimtomgonza, miezi Sita iliyopita akakubali, na nikamwambia nataka kumuoa. Ila sasa toka kipindi icho amekuwa akinilazimisha niende kwao kutoa posa na mahari. Tunaishi mikoa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tafuta deedpoll kutoka kwa mwanasheria
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeifahamu Zanzuli Secondary

    ZUNZULI Ipo Wilaya ya Solwa Shinyanga, ni shule nzuri.. wanafundisha sana
  4. B

    JamiiForums Tanzania Vitabu nilivyosoma mwaka 2024

    Itakuwa jambo zuri, wadau tupo
  5. B

    JamiiForums Tanzania Vitabu nilivyosoma mwaka 2024

    Mimi nimekisoma The Alchemist
  6. B

    JamiiForums Tanzania Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

    Mungu hayupo, na hajawahi kuwepo
  7. B

    JamiiForums Tanzania Science ina support uwepo wa Mungu

    Uyo Hamis77 Anatumia chatgpt , AI iyo inamjibia, na iyo AI imekuwa commanded kujibu Ivo, achana nae..
  8. B

    JamiiForums Tanzania LIVE interview with Kiranga, Min me, mshamba hachekwi, Infropreneur, Nyani Ngabu and other ATHEISTs

    Tatizo hujui kitu, lakini unakuwa mbishi.. hutaki kujifunza. We unasema Mungu yupo. Tumekuomba uthibitisho kuwa yupo umeshindwa kutupatia...
  9. B

    JamiiForums Tanzania LIVE interview with Kiranga, Min me, mshamba hachekwi, Infropreneur, Nyani Ngabu and other ATHEISTs

    Unaonekana msomi lakini unauliza maswali kama ya mtu ambaye hajasoma, hii physical universe unataka kusema iliumbwa na Mungu!, Ulikuwepo kipindi anaiumba?, tuthibitishie uyo Mungu kuwa yupo. Usijaribu kutafuta majibu ya maswali makubwa, kwa Imani ambazo chanzo chake ni imagination tu, za wazee...
  10. B

    JamiiForums Tanzania LIVE interview with Kiranga, Min me, mshamba hachekwi, Infropreneur, Nyani Ngabu and other ATHEISTs

    Na je uyo Mungu ye alikuja tu, maana kwa point Yako lazima kila kitu kiwe na chanzo, Je ye Mungu aliumbwa na nani?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nimepiga marufuku watoto wangu kwenda kanisani

    Iko sawa ndio, ko we huamin evolution lakni unaamini binadamu aliumbwa kwa udongo sio?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nimepiga marufuku watoto wangu kwenda kanisani

    Siwezi kuwaruhusu waende kufundishwa uongo
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nimepiga marufuku watoto wangu kwenda kanisani

    Mda ambao wangeenda kanisan wapeleke tuition, au wajisomee , hasa masomo ya sayansi.
Back
Top Bottom