Recent content by bradapele

  1. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha Kiislamu Morogoro kiboreshe mazingira ya usafi, yanawaweka hatarini Wanafunzi na Wafanyakazi

    Mada ikiwekwa public, inahusu wote. Na hii ni forum ni ya jamii.
  2. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha Kiislamu Morogoro kiboreshe mazingira ya usafi, yanawaweka hatarini Wanafunzi na Wafanyakazi

    Ndugu... Iruhusu akili yako ifikiri. Suluhu inatafutwa ndani sio nje. Vyuoni huwa kuna serikali za wanafunzi na "hierarchy" za uongozi. Issue hizo zinatatulika mapema tu, endapo zitafikishwa sehemu husiku.
  3. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha Kiislamu Morogoro kiboreshe mazingira ya usafi, yanawaweka hatarini Wanafunzi na Wafanyakazi

    Wewe uliyeleta hili suala hapa pia unamatatizo. Kama msomi, hii ni njia sahihi ya kutatua changamoto? Inaonekana ni Mwanafunzi ambaye huwezi kutatua changamoto zilizo kuzunguka. Huwezi kuja kuwa na mchango wowte kwenye taifa letu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Naomba kuuliza mwenyeji wa Ludewa Njombe Shule ya Sekondari Kayao, naomba tuwasiliane 0765064179
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro kama ulivyosanifiwa katika kitabu ''Rajabu Ibrahim Kirama Jemadari wa Vita kuwa Jemadari wa Uislam''

    Hakuna jipya ila kuonesha kuwa hawana mchango wowote muhimu kwa waislamu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro kama ulivyosanifiwa katika kitabu ''Rajabu Ibrahim Kirama Jemadari wa Vita kuwa Jemadari wa Uislam''

    Shukran sana Shekh Mohamed Said. Leo siku nzima nimekua nafatilia kama umeandika chochote kuhusu miaka 52 ya BAKWATA
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Vidkun Quisling jina lake likawa msamiati mpya wa usaliti

    Shukrani sana Shekh Mohamed
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Vidkun Quisling jina lake likawa msamiati mpya wa usaliti

    Hongera sana. Prof yuko vizuri sana. Nimeona pia Prof Hamza njozi alitoa comments zake juu ya kitabu hicho
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Vidkun Quisling jina lake likawa msamiati mpya wa usaliti

    Sheikh Mohamed ulipotaja ZMO Umenikumbusha Prof.Kai Kresse katika kitabu cha "Swahili Muslim Publics and Postcolonial experience"
  10. B

    JamiiForums Tanzania Jean Paul Sartre

    Omar Abdallah ndiye aliyeandika "The Sage of Moroni?" Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kitabu kipya NO.1: Watu mashuhuri katika uhuru wa Tanganyika

    SAWA NDUGU YANGU NSHAAGIZA IBN HAZM PALE MTORO. ALLAH AKUFANYIE WEPESI UKAMILISHE NA HIVYO VINGINE ILI UKWELI UENDELEE KUFAHAMIKA NA WATU MAKINI
  12. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni vyuo gani vinaongoza kwa kutoa wasomi walioiva vizuri Tanzania?

    SAWA LAKINI NDIO CHUO BORA SAAAANA
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kitabu kipya NO.1: Watu mashuhuri katika uhuru wa Tanganyika

    MAA SHAA ALLAH ALLAH AKULIPE KWA KAZI KUBWA UNAYOIFANYA TUNA TUNATARAJIA SERIES YA VITABU HIVYO MAANA HII NI NAMBA 1
Back
Top Bottom