Recent content by braco

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tungeishi vipi Duniani kama kusingekuwa na Kifo?

    Zero IQ, kifo na uhai ni mapacha
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wazungu waling'oa pua za sanamu za Misri ili kuficha ukweli kuwa chimbuko la ustaarabu duniani ni mtu mweusi.

    kwa hiyo unakataa hawaja vunja pua za sanamu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Katika mikasa ya Biblia, Mungu ameshawaua watu 2,800,000, wakati Shetani ni Watu 10 tu!

    facts never lie.mungu akiua tunasema kachukua kiumbe chake .ila akiua shetani sasa tabu tupu.kwanza kwenye bibilia kuna hadi vita ambazo mungu kasaidia upande mmoja wa wanao pigana.wakati wote ni viumbe vyake .tumechoka kudanganywa tunataka ukweli halisi kuhusu mungu .sio huu tunao lazimishwa...
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya mapenzi usiku!

    hapa kweli nimeamini.kwamba chizi karogwa tena.jukwaa la mapenzi ubaleta mambo ya bible? .aliyekuroga kafa
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ni mwanamke shujaa aliniyeniepusha na kifo; siwezi msahau maishani mwangu.

    kama wewe kweli ulimpenda muoe.ukimwi hauzuii ndoa.ila kwa vile kakuambukiza hofu unamuona hafai kuolewa.angekua hana virusi ungekua ushaulizia mahari yake shi ngapiii??muombe mungu akujalie maarifa ujue ukimwi ni nini na wanao faidika nao ni kina nani?.jifunze dunia inaendeshwaje .utakuwa huna...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Taharuki CHADEMA: Mlinzi wa Mbowe akutwa amekufa katika mazingira ya kutatanisha akiwa Guest, jijini Dar

    usiongelee humu nenda kamfungulie mashtaka mahakamani.
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

    Anaitwa imani rose.ni noooomaaaahhh
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je kusudi la Mungu kumuunba mwanadamu ilikuwa ni lipi kati ya haya mawili?

    hilo ndilo jibu sahihi .malengo ya mungu kwa viumbe vyake anayajua yeye mungu.full stop.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Utajijuaje wewe ni freemason wa baadae, basi yafuatayo yatakutokea

    hata lucifer hakujiumba mwenyewe. bali kaumbwa.na anaishi kwa uwezo wa mungu.yaani wewe binadamu na lucifer ni watoto wa baba mmoja.tofauti yenu ni kwamba yeye lucifer alimkosea mungu akalaaniwa we binadamu unamkosea mungu lakini anakusamehe.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Great Leap Forward 1958-62: Vita ya mwanadamu dhidi ya viumbe ilioua watu Million 50

    This is what they call "Ecology"
  11. B

    JamiiForums Tanzania Camouflagers na informers

    thank u mshana .kwa elimu adimu
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu ambazo Mke au Girlfriend wako anaweza akakupiga na ukapata maumivu makali sana

    Unawafudisha eeeee!!!
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitu nane vya kipumbavu ambavyo wadada hufanya kwenye mapenzi

    Kwenye mapenzi .hisia ndiyo zinahusika zaidi kuliko akili.wapo walio wafulia na kuwapa huduma zote ma boy frend zao na wakaja kuolewa nao.upendo ni zaidi ya ndoa.
Back
Top Bottom