Recent content by BR Stationary

  1. BR Stationary

    JamiiForums Tanzania Sikiliza kaka

    MAN TO MAN Umri wa miaka 25–35 na kuendelea unaweza kuwa kipindi kigumu sana katika maisha. Unaanza kuona wazazi wako wakizeeka, marafiki wakipungua, msongo wa mawazo kuhusu kazi na maisha, huku ukipambana na mashaka juu ya uwezo wako mwenyewe. Familia yako inatarajia uwe imara, uvumilie na...
  2. BR Stationary

    JamiiForums Tanzania Chukua Code kijana

    Mipaka muhimu mzee
  3. BR Stationary

    JamiiForums Tanzania Chukua Code kijana

    Kwa nini?
  4. BR Stationary

    JamiiForums Tanzania Chukua Code kijana

    Mwanaume. 1. Kuwa adimu, usipatikane kila sehemu. 2. Kuwa na LOGIC, usiendeshwe na HISIA. 3. Jua unataka nini, usiwe mfuasi na shibiki 4. Kuwa na mipaka, sio kila mtu ni wa waku-engage nae. 5. Linda attention yako, sio kila jambo nilakufatilia. Being MAN isn’t easy.
  5. BR Stationary

    JamiiForums Tanzania Bro, Usiingie mtego huu

    Huduma ni kitu cha kawaida, tatizo linapokuja pesa ya mwanamke sio Yako ,pesa anayo na huduma unatoa
  6. BR Stationary

    JamiiForums Tanzania Bro, Usiingie mtego huu

    Kabisa Mkuu
  7. BR Stationary

    JamiiForums Tanzania Bro, Usiingie mtego huu

    Ndo mana mnagongewa
  8. BR Stationary

    JamiiForums Tanzania Bro, Usiingie mtego huu

    Mi nina ela kukuzidi wewe
  9. BR Stationary

    JamiiForums Tanzania Bro, Usiingie mtego huu

    Broh, Usiingie mtego wa kuoa au kumzalisha mwanamke sababu ana pesa ,Kazi nzuri au ana elimu kubwa. Unajua kwa nini, Mwanaume kaumbwa kutawala hawo watataka kukutawala ,Mwanzoni atakupa vijipesa ,ata kusaport biashara na issue uko mbele misaada itakata, atataka na wewe uanze kumuhudimia ndo...
Back
Top Bottom