Bro, Usiingie mtego huu

Bro, Usiingie mtego huu

Mwanamke kama hajakupenda hawezi kukutii, labda kama anakunafikia akitegeshea jambo fulani

Kwa kifupi nikwamba.....
Mapenzi huzaa heshima, na heshima huzaa utii. Mwanamke akipendwa vizuri, kumtii mwanaume wake inakuja yenyewe bila kulazimishwa.
 
Kataa omba omba mwanamke ambaye hakupi dhamani yoyote, yeye kazi yake ni kuomba omba tu wa kazi gani ?

Baba yake kashindwa kumfanya mwanamke wa dhamani wewe utaweza vipi?
Binafsi pia sitaki mtu masikini, umasikini nilionao unatosha mzee! Ili nipambane na generation yangu inayofuata ikae sawa, masikini simtaki.
 
Binafsi pia sitaki mtu masikini, umasikini nilionao unatosha mzee! Ili nipambane na generation yangu inayofuata ikae sawa, masikini simtaki.
Sure, mwanamke ambae hawezi hata kuninunulia bia moja tu siwezi kuwa naye ,wa hivyo sasa naweza ongea nae nini kingine zaidi ya kutombna?
 
Mkuu episode za mkeo kasema nini siku hizi sizioni
Hahaaaahaaaaaa.....
Saizi naona kisukari chake kipo uzuri, nakula chundai tu polepole...😜
downloadfile-19.jpg
 
Yeyote anaweza kukufanya vyovyote na maisha hayatabiriki Wala hakuna betting!

WEWE ishi kipande ulichopewa,fanya paper lako kama utafaulu au kufeli aliekuumba anajua!

Kugongwa na gongwa yeyote anaetaka kugongwa na n.k

Ishi kipande chako,maisha ni kipande kitafune ulichopewa!
 
Back
Top Bottom