Recent content by boywise

  1. boywise

    Miaka karibu 10 ya Jafo ubunge Kisarawe bado maji ni ya chumvi. Kuoga mpaka uogee detergents

    Kama ungekuwa wewe ndio yeye ungefamyaje ili wananchi wapate maji safi na salama.
  2. boywise

    Miaka karibu 10 ya Jafo ubunge Kisarawe bado maji ni ya chumvi. Kuoga mpaka uogee detergents

    Na watu wanaishi na kuzaliana bila maji ya Kunywa. Au wananchi wamehama?
  3. boywise

    Miaka karibu 10 ya Jafo ubunge Kisarawe bado maji ni ya chumvi. Kuoga mpaka uogee detergents

    Amekwambia nani ili Mbunge alambe teuzi ya Uwaziri anatakiwa awape Wananchi wake maji matamu
  4. boywise

    Kama kweli DP World ataifanya Bandari ichangie 67% ya Bajeti ya Nchi basi Tanganyika Tutakuwa kama Qatar!

    DP ni hatari kwa usalama wa majizi yaliyopo pale bandari ikizingatiwa kuwa wanategemewa na wapiga kelele wengi huku mtaani nani asie jua kuwa hata Mwenda zake alipambana nao
  5. boywise

    Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

    Mwambie huyo mmoja unaemmiliki basi inatosha Yaani kila mwanaume awe na muonekano unaoutaka wewe kwani unataka kuwamiliki wote
  6. boywise

    Jinsi walivyokunywa supu ya nywele

    Paukwa pakawa......
  7. boywise

    Ninapinga CHADEMA kumteua Ndugai kuwa Mgombea Urais 2025

    Kwani Spika amejiuzulu uanachama???
  8. boywise

    Usawa: Naibu spika ni mkristo wa Bara, spika awe mwislamu wa Zanzibar

    Kweli hii ni Where we dare speak openly
  9. boywise

    Jaribio la kumtoa Spika Ndugai ni la hatari kuliko linavyochukuliwa

    Kuna Andrew Kadege au una makengeza
  10. boywise

    CCM kuwalegezea CHADEMA ili ionekane tuna misingi ya Demokrasia ni kukengeuka

    Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu. Hivi hapa Mnafiki ni MLEGEZAJI au MLEGEZEWA?? Kwani unafikiri kwa kutumia nini?
  11. boywise

    Rais Samia, chukua tahadhari kuwa "Ukicheka na nyani utavuna mabua"

    Unawezaje kuyajua yalo ndani ya moyo wa mtu? Kama una taarifa za uhakika peleka kwa mama alisharihusu hilo. Acha kuteseka na Uongozi wa HAKI
Back
Top Bottom